ALI KIBA NA DIAMOND NDANI YA JUKWAA MOJA TAREHE 24 MWEZI HUU
HomeBurudani

ALI KIBA NA DIAMOND NDANI YA JUKWAA MOJA TAREHE 24 MWEZI HUU

Kampuni ya simu ya mkononi ya Tigo imetangaza kuandaa tamasha kubwa kabisa la muziki la aina yake lijulikanalo ...

KAMA ULIKOSA KWENDA KWENYE ZARI ALL WHITE PARTY…HIZI NI PICHA NA VIDEO KWA AJILI YAKO
Kajala aja na Pishu
SHINDANO LA TMT 2015 LAZINDULIWA RASMI, JIJINI DAR


Kampuni ya simu ya mkononi ya Tigo imetangaza kuandaa tamasha kubwa kabisa la muziki la aina yake lijulikanalo kama “Kiboko Yao” litakalofanyika Januari 24, mwaka huu Jijini Dar es Salaam katika viwanja vya Leaders Club Kinondoni.

Akiongea leo katika mkutano wake na waandishi wa habari Meneja wa Chapa wa Tigo William Mpinga, amesema tamasha hilo litatumbuizwa na wasanii 18 wakali, linaenda sambamba na kutambulisha huduma mpya ya tiGO Music itakayowaletea wateja wao burudani ya muziki kupitia simu zao.

Katika Mkutano huo na waandishi wa habari pia walikuwemo baadhi ya wasanii watakaopanda jukwaani katika tamasha la Kiboko Yao, akiwemo Diamond Platnumz, Ali Kiba, Christian Bella, Ben Pol, Mwana FA, Fid Q, Isha Mashauzi, Vanessa Mdee, Yamoto Band pamoja na bendi kongwe za Msondo na Sikinde.
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: ALI KIBA NA DIAMOND NDANI YA JUKWAA MOJA TAREHE 24 MWEZI HUU
ALI KIBA NA DIAMOND NDANI YA JUKWAA MOJA TAREHE 24 MWEZI HUU
http://www.bongoclan.co.tz/wp-content/uploads/2015/01/diamond-667x500.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2015/01/ali-kiba-na-diamond-ndani-ya-jukwaa.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2015/01/ali-kiba-na-diamond-ndani-ya-jukwaa.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy