18 Wauawa Misri
Waandamaji Misri
HomeHabariKimataifa

18 Wauawa Misri

Waandamaji Misri Serikali ya Misri imesema watu kumi na wanane akiwemo Polisi mmoja wameuawa wakati wa maandamano yaliyofanyika nchin...


Serikali ya Misri imesema watu kumi na wanane akiwemo Polisi mmoja wameuawa wakati wa maandamano yaliyofanyika nchini humo wakati wakiadhimisha miaka minne tangu kuangushwa utawala wa Hosni Mubarak.

Vifo hivyo vimetokea mjini Alexandria na cairo,Serikali ilipiga marufuku kuadhimisha kumbukumbu hizo hali iliyosabbaisha vurugu kati ya Waandamanaji na Polisi.

Zaidi ya watu 400 pia wanashikiliwa kutokana vurugu hizo.Hata hivyo serikali ilipiga marufuku tukio hilo linalodaiwa kuwa ni la kumbukumbu ya maandamano 2011.

Maandamano hayo ya mwaka 2011 nchini Misri yalikuwa yakiratibiwa na makundi ya Waislam wenye msimamo mkali ambapo vikosi vya usalama vilishindwa kuwadhibiti waandamanaji hao.
 
Chanzo BBC
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: 18 Wauawa Misri
18 Wauawa Misri
http://ichef.bbci.co.uk/news/ws/304/amz/worldservice/live/assets/images/2015/01/26/150126003502_egypt_anniversary_304x171_epa_nocredit.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2015/01/18-wauawa-misri.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2015/01/18-wauawa-misri.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy