HomeHabariTop Stories

Wafungwa waliomaliza vifungo vyao watuhumiwa kwa wizi wa mifugo Geita

WAFUNGWA WALIOMALIZA VIFUNGO VYAO WATUHUMIWA KWA WIZI WA MIFUGO GEITA.   Jeshi la Polisi Mkoani Geita limesema litaendelea kukabiliana na ...

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo June 11, 2024
Ubalozi wa Tanzania Nigeria waendesha jukwaa kuvutia uwekezaji nchini
Habari kubwa Magazetini Kenya leo June 10, 2024

WAFUNGWA WALIOMALIZA VIFUNGO VYAO WATUHUMIWA KWA WIZI WA MIFUGO GEITA.

 

Jeshi la Polisi Mkoani Geita limesema litaendelea kukabiliana na changamoto ya wimbi la wizi wa mifugo katika maeneo mbalimbali ya Mkoa huo ambapo Jeshi la Polisi limesema wizi huo unachangiwa na Baadhi ya wafungwa ambao wamekamilisha vifungo vyao Gerezani na kurudi uraiani.

 

Hayo yameelezwa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita , SACP Safia Jongo wakati akitolea ufafanuzi wa uwepo wa wimbi la wizi wa Mifugo ambalo limeendelea kukithiri katika maeneo mbalimbali ya Mkoa huo huku akisema tayari wamejipanga kufanya Oparesheni kukabiliana na wimbi hilo.

 

” Ni kweli tulikuwa na wimbi kubwa la wizi wa mifugo Mkoa wa Geita tulipambana na asilimia kubwa watuhumiwa walikamatwa na kufikishwa mahakamani na chanzo cha Matukio haya kurudi kwanza watuhumiwa walifungwa kwa muda mchache wengine Miezi sita wengine mwaka ambapo baada ya kutumikia vifungo vyao wamerudi na kuanza kufanya upya uharifu huo , ” Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita SACP. Safia Jongo.

 

” Sisi kama Jeshi la Polisi mikakati tuliyonayo moja wapo ni hiyo kuwasisitiza wananchi kujenga Mazizi salama lakini kuanzisha vikundi vya ulinzi shirikishi hasa sungusungu ili wao na Sisi tushirikiane kuendelea tena kupambana na hawa watuhumiwa lakini pia oparesheni mbalimbali zimepangwa ikiwemo kukagua mabucha bubu kwa sababu haya mabucha bubu nayo yanachangia kuuza hizo nyama ambazo zinaibiwa , ” Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, ” SACP. Safia Jongo.

The post Wafungwa waliomaliza vifungo vyao watuhumiwa kwa wizi wa mifugo Geita first appeared on Millard Ayo.



from Millard Ayo https://ift.tt/bvxRtBc
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Wafungwa waliomaliza vifungo vyao watuhumiwa kwa wizi wa mifugo Geita
Wafungwa waliomaliza vifungo vyao watuhumiwa kwa wizi wa mifugo Geita
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2025/02/wafungwa-waliomaliza-vifungo-vyao.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2025/02/wafungwa-waliomaliza-vifungo-vyao.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy