HomeHabariTop Stories

Tanga kufunguliwa kiuchumi na kiutalii ili kuhakikisha wananchi wananufaika na rasilimali walizo nazo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema lengo la kujenga barabara unganishi ya Tanga- Pangani-Ba...

Ibrahimovic amethibitisha kuwa Origi amefukuzwa katika timu ya vijana ya AC Milan.
Man Utd itajumuisha kipengele muhimu katika mkataba wa Greenwood wa Marseille.
Wakenya wafanya tamasha kuwakumbuka waathiriwa wa maandamano

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema lengo la kujenga barabara unganishi ya Tanga- Pangani-Bagamoyo pamoja na Daraja la Pangani aliloliwekea jiwe la msingi mapema  Februari 26, 2025 ni kutaka kuifungua Tanga kiuchumi na kiutalii ili kuhakikisha wananchi wa Tanga wananufaika na rasilimali na fursa mbalimbali zilizopo Mkoani humo.

 

Rais Samia Suluhu Hassan anayeendelea na ziara yake ya Kikazi mkoani Tanga amebainisha hayo mapema leo Wilayani Pangani Mkoani Tanga wakati akizungumza na wananchi wa Pangani, akisisitiza umuhimu wa wananchi wa Tanga kufaya kazi kwa bidii ili kuhakikisha wanakuwa wanufaika wakubwa wa miradi mbalimbali ya maendeleo inayotekelezwa Mkoani humo.

 

Rais Samia ameeleza kuwa Ujenzi wa barabara ya Kiwango cha Lami itakayounganisha Pangani- Tanga na Bagamoyo, kutaiunganisha Tanga na kanda kadhaa za kiuchumi ikiwemo Kanda ya Bagamoyo, sehemu ambayo kunajengwa eneo huru la kiuchumi (Kongano la viwanda) ambayo itakuwa kubwa zaidi kuliko zote zilizowahi kujengwa nchini Tanzania, sambamba na ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo.

The post Tanga kufunguliwa kiuchumi na kiutalii ili kuhakikisha wananchi wananufaika na rasilimali walizo nazo first appeared on Millard Ayo.



from Millard Ayo https://ift.tt/JPlTWc8
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Tanga kufunguliwa kiuchumi na kiutalii ili kuhakikisha wananchi wananufaika na rasilimali walizo nazo
Tanga kufunguliwa kiuchumi na kiutalii ili kuhakikisha wananchi wananufaika na rasilimali walizo nazo
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2025/02/tanga-kufunguliwa-kiuchumi-na-kiutalii.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2025/02/tanga-kufunguliwa-kiuchumi-na-kiutalii.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy