Polisi wanashikilia raia wa Tanzania kuhusu Kifo cha mshambuliaji Abubakar Lawal
HomeHabariTop Stories

Polisi wanashikilia raia wa Tanzania kuhusu Kifo cha mshambuliaji Abubakar Lawal

Jeshi la Polisi nchini Uganda linamshikilia Mtanzania Naima Omary kufuatia kifo cha Mchezaji soka wa Kimataifa wa Nigeria Abubakar Lawal (39...

Jeshi la Polisi nchini Uganda linamshikilia Mtanzania Naima Omary kufuatia kifo cha Mchezaji soka wa Kimataifa wa Nigeria Abubakar Lawal (39) aliyekuwa anaichezea Vipers SC ya Uganda.

Naima anashikiliwa kwa uchunguzi kwakuwa alikuwa mtu wa mwisho kukutana na Lawal February 24 2025 kabla ya kufariki kwa utata kutokana na kuwa na taarifa mbili tofauti kuhusiana na kifo chake, taarifa ya kwanza ilisema amepata ajali ya bodaboda lakini taarifa ya Polisi ikieleza kuwa amedondoka kutoka kwenye barcony ghorofani alipokuwa amekwenda Voice Mall maeneo ya Bwebajja, barabara ya kuelekea Entebbe kuonana na Naima.

Lawal inaelezwa alifika Voice Mall akiwa na gari yake yenye namba za usajili UBQ 695G na kwenda kukutana na Naima aliyekuwa anaishi hapo toka February 20 2025 chumba namba 416 ambapo inaelezwa Naima alimuacha Lawal chumbani akiandaa chai.

Naima yupo nchini Uganda kwa ufadhili maalum (Scholarship) kwa ajili ya kuendeleza kipaji chake kucheza Basketball katika Chuo cha St Marry’s nchini Uganda.

The post Polisi wanashikilia raia wa Tanzania kuhusu Kifo cha mshambuliaji Abubakar Lawal first appeared on Millard Ayo.



from Millard Ayo https://ift.tt/nHWZTmb
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Polisi wanashikilia raia wa Tanzania kuhusu Kifo cha mshambuliaji Abubakar Lawal
Polisi wanashikilia raia wa Tanzania kuhusu Kifo cha mshambuliaji Abubakar Lawal
https://millardayo.com/wp-content/uploads/2025/02/896cc5d0-cc74-4d89-8a9e-c0585a7ba3a6-950x942.jpeg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2025/02/polisi-wanashikilia-raia-wa-tanzania.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2025/02/polisi-wanashikilia-raia-wa-tanzania.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy