Kusherehekea miaka 48 ya CCM, Msasani watoa msaada
HomeHabariTop Stories

Kusherehekea miaka 48 ya CCM, Msasani watoa msaada

Kuelekea kuadhimisha siku ya Kuzaliwa ya Chama Cha Mapinduzi CCM, Umoja wa Wanawake wa Chama cha Mapinduzi Kata ya Msasani wameungana pamoja...

Kuelekea kuadhimisha siku ya Kuzaliwa ya Chama Cha Mapinduzi CCM, Umoja wa Wanawake wa Chama cha Mapinduzi Kata ya Msasani wameungana pamoja katika Dua maalum pamoja na kutoa msaada kwa wahitaji lengo Kuombea kheri ya kuzaliwa na kutimiza miaka 48 ya Chama cha Mapinduzi.

Akizungumza na Waandishi wa Habari mara baada ya kukabidhi mahitaji muhimu kwa Zahanati na Shule, Katibu wa Tawi la Umoja wa Wanawake Kata ya Msasani Bi, Mwajuma Bwaru amesema UWT Msasani ni muhimu kuendelea kutoa mahitaji muhimu kwa wahitaji kwani itasaidia kupunguza changamoto zinazoepukika.

” Uwt Msasani leo tumekuwa na jambo hili muhimu Tumetembelea Shule za Sekondari na Shule za Msingi pamoja na Zahanati ya Mikoroshini Msasani kwa kuwaletea mahitaji maalumu kama Taulo Za Kike, Dawa za Mbu, Pampers za Watoto wa Changa na Vingine vingi lengo ni kusapoti kazi zinazofanywa na Serikali ya Rais Samia” Amesema Katibu.

Hata hivyo Naye Mwakilishi wa Shule ya Msingi Msasani B Mwalimu Neema Poneka amewashukuru Umoja wa Wanawake CCM kwa zawadi hizo kwani ilikuwa ni mahitaji yao makubwa kwa muda mrefu sasa itapunguza utoro kwa Wanafunzi wa Kike Shuleni.

The post Kusherehekea miaka 48 ya CCM, Msasani watoa msaada first appeared on Millard Ayo.



from Millard Ayo https://ift.tt/Cki4azB
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Kusherehekea miaka 48 ya CCM, Msasani watoa msaada
Kusherehekea miaka 48 ya CCM, Msasani watoa msaada
https://millardayo.com/wp-content/uploads/2025/02/9ec088c0-bd31-4cdc-a62a-3979746860dc-950x534.jpeg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2025/02/kusherehekea-miaka-48-ya-ccm-msasani.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2025/02/kusherehekea-miaka-48-ya-ccm-msasani.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy