Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amefungua Skuli ya Sekondari ya Makoba Kaskazini Unguja
HomeHabariTop Stories

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amefungua Skuli ya Sekondari ya Makoba Kaskazini Unguja

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Januari 06, 2025 amefungua Skuli ya Sekondari ya Makoba iliyopo Mkoa wa Kaskazini Unguja, Zanzibar ikiwa ni ...

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Januari 06, 2025 amefungua Skuli ya Sekondari ya Makoba iliyopo Mkoa wa Kaskazini Unguja, Zanzibar ikiwa ni sehemu ya shamrashamra kuelekea maadhimisho ya miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.

Ujenzi wa Shule hiyo ambao umefikia asilimia 100 umegharimu kiasi cha shilingi bilioni 6.1 ambazo zimetolewa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar inayoongozwa na Rais Dkt Hussein Ali Mwinyi.

The post Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amefungua Skuli ya Sekondari ya Makoba Kaskazini Unguja first appeared on Millard Ayo.



from Millard Ayo https://ift.tt/Rn1Dpyj
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amefungua Skuli ya Sekondari ya Makoba Kaskazini Unguja
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amefungua Skuli ya Sekondari ya Makoba Kaskazini Unguja
https://millardayo.com/wp-content/uploads/2025/01/0440ed21-ffd7-4bd7-9f6a-c1ece008fec8-950x534.jpeg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2025/01/waziri-mkuu-kassim-majaliwa-amefungua.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2025/01/waziri-mkuu-kassim-majaliwa-amefungua.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy