TAAWANU yazindua rasmi zoezi la ugawaji bure wa vitanda elfu 60 kwenye  hospitali nchini Tanzania
HomeHabariTop Stories

TAAWANU yazindua rasmi zoezi la ugawaji bure wa vitanda elfu 60 kwenye hospitali nchini Tanzania

Taasisi ya Taawanu Islamic Foundation chini ya Mkurugenzi wake wa Kimataifa Hajjat Zahra Dattan (zaradattani on Instagram) imezindua rasmi z...

Habari kubwa Magazetini Kenya leo August 20, 2024
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 19, 2024
Habari kubwa Magazetini Kenya leo August 19, 2024

Taasisi ya Taawanu Islamic Foundation chini ya Mkurugenzi wake wa Kimataifa Hajjat Zahra Dattan (zaradattani on Instagram) imezindua rasmi zoezi la ugawaji wa vitanda kwa hospitali mbalimbali hapa Nchini Tanzania lengo likiwa ni kusaidia wananchi wanaoenda maeneo hayo kwa ajili ya kupatiwa matibabu.

Zoezi hilo limezinduliwa katika Manispaa ya Bukoba Mkoani Kagera ambapo limehudhuliwa na viongozi mbalimbali akiwemo Mkurugenzi wa Taawanu Kimataifa Hajath Zahra na Mwenyekiti wa Taawanu Taifa na Afrika kwa ujumla Sheikh Hashimu Kamugunda ambaye ndo amezindua zoezi hilo akimuwakilisha Muft wa Tanzania na amekabidhi baadhi ya vitanda ikiwa ni ishara ya uzinduzi kwa Umoja wa Maendeleo ya Wanawake wa Kiislamu Kagera (UMWAKIKA) ambavyo vitatumika kwenye kituo chao cha Afya kilichopo Kata ya Nyanga ndani ya Manispaa hiyo.

Baada ya kukabidhi vitanda hivyo na kuzindua zoezi hilo rasmi,Viongozi wa Taawanu Hajjat Zahra pamoja na Sheikh Hashimu Kamugunda wamewasihi na kuwataka wale wote watakaopata vifaa hivyo kuhakikisha wanavitunza vizuri ili viweze kutumika kwa malengo yaliyokusudiwa ambayo ni pamoja na kuwasaidia wagonjwa sambamba na kupunguza mzigo kwa taasisi ambazo zinatoa huduma ya afya kwa wananchi.

Pia Hajjat Zahra amesema kuwa zoezi hilo litafanyika nchi nzima ambapo wataanza kwa kugawa vitanda elfu sitini na zoezi litakuwa endelevu kadri watakavyojaliwa ili waweze kuwafikia walio wengi huku akitaja gharama kitanda kimoja kuwa ni zaidi ya milioni 8 za Kitanzania.

The post TAAWANU yazindua rasmi zoezi la ugawaji bure wa vitanda elfu 60 kwenye hospitali nchini Tanzania first appeared on Millard Ayo.



from Millard Ayo https://ift.tt/ImjYBso
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: TAAWANU yazindua rasmi zoezi la ugawaji bure wa vitanda elfu 60 kwenye hospitali nchini Tanzania
TAAWANU yazindua rasmi zoezi la ugawaji bure wa vitanda elfu 60 kwenye hospitali nchini Tanzania
https://millardayo.com/wp-content/uploads/2025/01/e8e3c689-ce33-443f-bb02-24212bc93ed2-950x534.jpeg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2025/01/taawanu-yazindua-rasmi-zoezi-la-ugawaji.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2025/01/taawanu-yazindua-rasmi-zoezi-la-ugawaji.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy