HomeHabariTop Stories

Str8upvibes na Grooveback wairejesha burudani hii kwa watanzania ‘NTA5’

Miaka Kadhaa iliyopita Grooveback Entertainment chini ya Peter Moe ilikuwa inafanya burudani zake Rhapsody’s Viva towers. Baada ya muda waka...

Miaka Kadhaa iliyopita Grooveback Entertainment chini ya Peter Moe ilikuwa inafanya burudani zake Rhapsody’s Viva towers. Baada ya muda wakaungana na Str8UpVibes ikatokea kitu kinaitwa No Tie After 5 Moja ya Party ya mapema Kabambe sana inayokutanisha wadau Kizazi cha kati na cha Nyuma Old school na Gen Z iliyowika sana na kufanya vizuri.

Str8upvibes Inarekodi zake za utoaji wa burudani hususani kuwaleta wakali mbalimbali wa Afrika nje ya Afrika sasa time hii wameamua kurudi tena na Grooveback baada ya ukimya wa miaka mitatu.

Str8upvibes na Grooveback ambao pia ni Mahiri ktk uwanja wa burudani kwa miaka mingi Jijini na Tanzanian Ki ujumla wameamua kuungana tena na kuirejesha rasmi Event hii ‘No Tie After 5’ ambayo ukutanisha wadau mbalimbali hususani pale wanapomaliza shughuli zao za siku.

Akizungumza na Millardayo.com Peter Moe kutoka Grooveback alisema ‘Wadau wamekuwa na Kiu na shauku sana kuhusu No Tie After 5 ‘aka’ NTA5 na hii event ilikuwa ikiwakutanisha wadau na wengineo wakipata fursa humo humo, Me pamoja na Director wa Str8upvibes, Sniper Mantana tumemua No Tie ianze tena kwa mwaka 2025’- Peter Moe

‘Hivyo leo January 31st Mwaka 2025 tutairejesha rasmi No Tie After 5 baada ya kukaa kimya kwa Miaka! hivyo wadau wetu usiku wa leo eneo la kukutana na kupokea kile tulichowaandalia ni pale Club 1245 Masaki Jijini Dar es Salaam’- Peter Moe

‘Pia ningependa kuchukua fursa hii kuwakaribisha wasanii kwani mwanzo huu ama ufunguzi wa Event yetu ndio fursa ya kukutana na wadau wapya hivyo rasmi No Tie After 5 imerejeshwa Dar es Salaam, Na itaenda katika Mikoa tofauti ikiwa na theme mbalimbali kuipa ukubwa zaidi, karibuni 1245 tuburudike na kuiandika historia’- Peter Moe

Aidha alimalizia kwa kusema Event hiyo itaanza majira ya saa kumi na moja na Kuendelea baada ya wadau kutoka makazini Mnakaribishwa.

The post Str8upvibes na Grooveback wairejesha burudani hii kwa watanzania ‘NTA5’ first appeared on Millard Ayo.



from Millard Ayo https://ift.tt/yerQXfz
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Str8upvibes na Grooveback wairejesha burudani hii kwa watanzania ‘NTA5’
Str8upvibes na Grooveback wairejesha burudani hii kwa watanzania ‘NTA5’
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2025/01/str8upvibes-na-grooveback-wairejesha.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2025/01/str8upvibes-na-grooveback-wairejesha.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy