Watu wenye mahitaji maalumu kupewa kipaumbele katika zoezi la uboreshaji wa daftari la kudumu la mpiga kura
HomeHabariTop Stories

Watu wenye mahitaji maalumu kupewa kipaumbele katika zoezi la uboreshaji wa daftari la kudumu la mpiga kura

Kuelekea zoezi la uboreshaji wa Daftari la kudumu la mpiga kura, Makamu Mwenyekiti Tume huru ya Taifa ya uchaguzi (INEC) Jaji Mstaafu Mbarou...

Kuelekea zoezi la uboreshaji wa Daftari la kudumu la mpiga kura, Makamu Mwenyekiti Tume huru ya Taifa ya uchaguzi (INEC) Jaji Mstaafu Mbarouk Mbarouk amesema watu wenye mahitaji maalumu watapewa kipaumbele cha kujiandikisha bila ya kulazimika kusubiri kupanga foleni.

Ameyaeleza hayo leo wakati akifungua Mkutano wa Tume na Wadau wa uchaguzi kuhusu uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura uliofanyika katika ukumbi wa mikutano uliopo ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Iringa uliopo Manispaa ya Iringa huku akieleza kuwa hatua hiyo inalenga kuhakikisha kuwa haki za watu tajwa hapo juu zinaheshimiwa na kutekelezwa kwa usawa hivyo.

“Ni muhimu kuhakikisha kwamba kila Mtanzania anapata fursa ya kushiriki katika uchaguzi bila kujali changamoto anazokutana nazo, Kwa hiyo watu wenye mahitaji maalumu watapewa kipaumbele maalumu katika vituo vya kujiandikisha ili wasiwekewe vikwazo vya aina yoyote na hakuna mtu atakayezuiliwa kutokana na hali yake ya kiafya au kimwili”, amesema Mbarouk.

The post Watu wenye mahitaji maalumu kupewa kipaumbele katika zoezi la uboreshaji wa daftari la kudumu la mpiga kura first appeared on Millard Ayo.



from Millard Ayo https://ift.tt/Zwdm7YW
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Watu wenye mahitaji maalumu kupewa kipaumbele katika zoezi la uboreshaji wa daftari la kudumu la mpiga kura
Watu wenye mahitaji maalumu kupewa kipaumbele katika zoezi la uboreshaji wa daftari la kudumu la mpiga kura
https://millardayo.com/wp-content/uploads/2024/12/03a34ea5-ea35-48a6-9e34-4408f5886f2b-950x633.jpeg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2024/12/watu-wenye-mahitaji-maalumu-kupewa.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2024/12/watu-wenye-mahitaji-maalumu-kupewa.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy