Ujenzi wa uwanja wa AFCON Arusha wafikia 11%
HomeHabariTop Stories

Ujenzi wa uwanja wa AFCON Arusha wafikia 11%

Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Gerson Msigwa amesema anaridhishwa na maendeleo ya ujenzi wa Uwanja wa Michezo wa Arush...

Habari kubwa Magazetini Kenya leo December 10, 2024
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo December 10, 2024
WHO yafanya uchunguzi wa mlipuko mpya wa ugonjwa usiojulikana Kongo

Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Gerson Msigwa amesema anaridhishwa na maendeleo ya ujenzi wa Uwanja wa Michezo wa Arusha unaotarajiwa kutumika kwa ajili ya Fainali za AFCON 2027 ambao hadi sasa umefikia 11% za ujenzi.

Msigwa amesema hayo wakati alipotembelea na kukagua maendeleo ya Mradi wa ujenzi wa uwanja huo unaojengwa katika kata ya Olmoti jijini Arusha kwa saa 24 usiku na mchana.

Aidha, Msigwa mesema pamoja na kuridhishwa na maendeleo ya ujenzi wa uwanja huo, hata hivyo amemtahadharisha mkandarasi huyo kuwa siku atakapochelewesha kazi ya ujenzi wa uwanja huo ndipo ugomvi wake na mkandarasi huyo utakapo kuja hata kabla Waziri wa Wizara yake Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro hajaja.

Msigwa amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kutoa fedha za ujenzi wa Uwanja huo wa Michezo wa Arusha unaotarajiwa kutumika kwa ajili ya Fainali za AFCON 2027 ambapo fedha za ujenzi wa Uwanja huo zimekuwa zikija kwa wakati kutoka Wizara ya Fedha.

 

The post Ujenzi wa uwanja wa AFCON Arusha wafikia 11% first appeared on Millard Ayo.



from Millard Ayo https://ift.tt/XjHG7Qi
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Ujenzi wa uwanja wa AFCON Arusha wafikia 11%
Ujenzi wa uwanja wa AFCON Arusha wafikia 11%
https://millardayo.com/wp-content/uploads/2024/12/IMG-20241201-WA0012-1-950x526.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2024/12/ujenzi-wa-uwanja-wa-afcon-arusha.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2024/12/ujenzi-wa-uwanja-wa-afcon-arusha.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy