TADB yatia saini Mkataba wa Makubaliano (MoU) na mchongotv
HomeHabariTop Stories

TADB yatia saini Mkataba wa Makubaliano (MoU) na mchongotv

Katika hatua ya kihistoria kwa sekta ya kilimo nchini Tanzania,Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania @tadbtz imeingia Mkatabawa Makubaliano ...

Vyama vya Ushirika vyatajwa kuwa mkombozi Kwa wananchi
Habari kubwa Magazetini Kenya leo September 29, 2024
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo September 29, 2024

Katika hatua ya kihistoria kwa sekta ya kilimo nchini Tanzania,Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania @tadbtz imeingia Mkatabawa Makubaliano (MoU) wa Miaka Mitano (5) na MchongoTelevisheni, kituo cha kwanza na pekee kinachojikita kwenyekutoa Habari za Kilimo,Uvuvi na Mifugo katika Ukanda wa AfrikaMashariki na Kati, ambapo kituo hicho kimewashwa rasmi kwamara ya kwanza kupitia kisimbuzi cha Startimes Chaneli namba134.

Ushirikiano kati ya TADB na Mchongo TV ni hatua muhimuinayolenga kukuza uelewa wa huduma za kifedha za kilimozinazotolewa na TADB, Pamoja na kuhamasisha wanawake, vijanana wadau wengine kuingia katika sekta ya kilimo kwa mtazamo wa kibiashara.

The post TADB yatia saini Mkataba wa Makubaliano (MoU) na mchongotv first appeared on Millard Ayo.



from Millard Ayo https://ift.tt/bju7Mzd
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: TADB yatia saini Mkataba wa Makubaliano (MoU) na mchongotv
TADB yatia saini Mkataba wa Makubaliano (MoU) na mchongotv
https://millardayo.com/wp-content/uploads/2024/12/f33421fb-6f8b-4dcf-9831-3abeb37f88a1-950x713.jpeg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2024/12/tadb-yatia-saini-mkataba-wa-makubaliano.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2024/12/tadb-yatia-saini-mkataba-wa-makubaliano.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy