Mkutano wa Mwaka wa Madini na Jiolojia wafanyika Tanga wasisitizwa kufanya utafiti na uvumbuzi wa rasilimali
HomeHabariTop Stories

Mkutano wa Mwaka wa Madini na Jiolojia wafanyika Tanga wasisitizwa kufanya utafiti na uvumbuzi wa rasilimali

Sekta ya madini nchini Tanzania kwa mwaka 2023/2024, makusanyo yameongezeka kwa asilimia 300 kufikia shilingi bilioni 700 kutoka bilioni 161...

Sekta ya madini nchini Tanzania kwa mwaka 2023/2024, makusanyo yameongezeka kwa asilimia 300 kufikia shilingi bilioni 700 kutoka bilioni 161 mwaka 2021. Ongezeko hili linaonyesha juhudi za serikali kupitia Wizara ya Madini katika kusimamia na kuendeleza sekta hii muhimu kwa uchumi wa taifa.

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini, Mhe. Msafiri Mbibo, amesema hayo katika Mkutano Mkuu wa Jumuia ya wanajolojia unaofanyika siku sita Jijini Tanga ambapo amesisitiza umuhimu wa kutumia rasilimali madini kwa maendeleo endelevu na kulinda mazingira. Pia ameainisha kuwa mageuzi ya nishati kutoka matumizi chafu kwenda matumizi safi ni hatua muhimu, huku akitoa wito kwa wanasayansi kuendeleza utafiti na uvumbuzi wa rasilimali, kama vile gesi asilia.

Rais wa Tanzania Geologists Society (TGS), Dkt. Elisante Mshiu, alibainisha changamoto ya kutokuwepo kwa bodi ya usajili wa wanajiolojia, jambo ambalo linaweza kuathiri weledi na uaminifu katika tafsiri ya data na takwimu. “nahimiza kuanzishwa kwa chombo cha kusimamia weledi wa taaluma ya jiolojia ili kuhakikisha usimamizi bora wa rasilimali za madini”.

Kauli mbiu ya Mkutano wa Wanajolojia inasema kutumika utajiri wa Madini Kwa maendeleo ya kiuchumi ikiwemo kuhama kutoka nishati chafu na kwenda Matumizi ya nishati safi.

 

The post Mkutano wa Mwaka wa Madini na Jiolojia wafanyika Tanga wasisitizwa kufanya utafiti na uvumbuzi wa rasilimali first appeared on Millard Ayo.



from Millard Ayo https://ift.tt/q0zQW2J
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Mkutano wa Mwaka wa Madini na Jiolojia wafanyika Tanga wasisitizwa kufanya utafiti na uvumbuzi wa rasilimali
Mkutano wa Mwaka wa Madini na Jiolojia wafanyika Tanga wasisitizwa kufanya utafiti na uvumbuzi wa rasilimali
https://millardayo.com/wp-content/uploads/2024/12/IMG-20241205-WA0034-950x633.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2024/12/mkutano-wa-mwaka-wa-madini-na-jiolojia.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2024/12/mkutano-wa-mwaka-wa-madini-na-jiolojia.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy