Waziri Chana ahudhuria hafla ya uzinduzi wa ASAS za Kichina Mufindi
HomeHabariTop Stories

Waziri Chana ahudhuria hafla ya uzinduzi wa ASAS za Kichina Mufindi

WAZIRI wa Maliasili na Utalii Mhe. Pindi Chana amehudhuria hafla ya uzinduzi wa Asasi ya kichina iliyofanyika Mjini Mafinga Wilayani Mufindi...

Millen Magese amkabidhi aliyeibuka mshindi wa Samia Fashion Festival Zanzibar mwaka 2024 Tsh mil 3
Habari kubwa Magazetini Kenya leo December 10, 2024
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo December 10, 2024

WAZIRI wa Maliasili na Utalii Mhe. Pindi Chana amehudhuria hafla ya uzinduzi wa Asasi ya kichina iliyofanyika Mjini Mafinga Wilayani Mufindi akiwa Mgeni rasmi.

Akizungumza wakati wa hafla hiyo Waziri Chana amesema “Mnafanya jambo jema kuwekeza kupitia Viwanda katika maeneo mengi hapa Nchini, Tanzania na China Tumeendelea kuwa na mahusiano mazuri kwa muda mrefu yaliyoanzishwa na Waasisi wetu Mwalimu Nyerere na Mao tse tung hivyo hatuna budi kuendelea kudumisha haya mahusiano”.
Amesema Waziri Mhe. Chana.

Pamoja na hayo Mhe. Chana ameongezea kwa kusema kuwa mahusiano baina ya Nchi Hizi mbili Tanzania na China yawe na manufaa makubwa katika kukuza Uchumi pamoja na kuwezessha Ajira kwa Vijana.

Asasi hiyo ya Kichina inalenga kujenga mahusiano thabiti yenye kuleta sauti ya pamoja kati ya Tanzania na China kupitia uwekezaji na Biashara.

  

The post Waziri Chana ahudhuria hafla ya uzinduzi wa ASAS za Kichina Mufindi first appeared on Millard Ayo.



from Millard Ayo https://ift.tt/u6yXUjv
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Waziri Chana ahudhuria hafla ya uzinduzi wa ASAS za Kichina Mufindi
Waziri Chana ahudhuria hafla ya uzinduzi wa ASAS za Kichina Mufindi
https://millardayo.com/wp-content/uploads/2024/10/a7458c21-1abc-4a2f-a2d7-d36b1c44743f-950x632.jpeg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2024/10/waziri-chana-ahudhuria-hafla-ya.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2024/10/waziri-chana-ahudhuria-hafla-ya.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy