HomeHabariTop Stories

Biden ana wasiwasi mkubwa kuhusu kutolewa kwa nyaraka za siri juu ya mipango ya mashambulizi ya Israeli

Ikulu ya White House imesema Rais wa Marekani Joe Biden “ana wasiwasi mkubwa” kuhusu uvujaji unaoonekana wa nyaraka za serikali ya Marekani ...

Ikulu ya White House imesema Rais wa Marekani Joe Biden “ana wasiwasi mkubwa” kuhusu uvujaji unaoonekana wa nyaraka za serikali ya Marekani zinazoelezea tathmini za kijasusi kuhusu maandalizi ya Israel kushambulia Iran.

Washington haina uhakika jinsi nyaraka zilizochapishwa kwenye mtandao wa kijamii wa Telegram wiki iliyopita ziliwekwa wazi, msemaji wa White House John Kirby aliwaambia waandishi wa habari Jumatatu.

Haijulikani ikiwa faili zilivuja au zilidukuliwa.

“Rais bado ana wasiwasi mkubwa kuhusu uvujaji wowote wa habari zilizoainishwa kwenye uwanja wa umma. Hilo halipaswi kutokea na halikubaliki linapotokea,” Kirby alisema.

Nyaraka zilizoainishwa ni pamoja na uchanganuzi wa picha za satelaiti za shughuli za kijeshi za Israeli.

Faili hizo zilisema kuwa jeshi la Israel “lilishughulikia” makombora ya balestiki ya kurushwa hewani – ambayo hurushwa kutoka kwa ndege – na kufanya shughuli za siri za ndege zisizo na rubani mapema mwezi huu “kwa hakika” kwa shambulio dhidi ya Iran.

Vyombo kadhaa vya habari vya Marekani viliwataja maafisa wa Marekani wasiojulikana wakisema nyaraka hizo za siri zinaonekana kuwa za kweli.

The post Biden ana wasiwasi mkubwa kuhusu kutolewa kwa nyaraka za siri juu ya mipango ya mashambulizi ya Israeli first appeared on Millard Ayo.



from Millard Ayo https://ift.tt/7PSyznD
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Biden ana wasiwasi mkubwa kuhusu kutolewa kwa nyaraka za siri juu ya mipango ya mashambulizi ya Israeli
Biden ana wasiwasi mkubwa kuhusu kutolewa kwa nyaraka za siri juu ya mipango ya mashambulizi ya Israeli
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2024/10/biden-ana-wasiwasi-mkubwa-kuhusu.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2024/10/biden-ana-wasiwasi-mkubwa-kuhusu.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy