Tamasha la Utamaduni wa Mtanzania jamii ya Wanyakyusa kuanza Septemba 27
HomeHabariTop Stories

Tamasha la Utamaduni wa Mtanzania jamii ya Wanyakyusa kuanza Septemba 27

TAMASHA la Utamaduni wa Mtanzania Jamii ya Wanyakyusa, linatarajiwa kuanza Septemba 27 hadi 29, 2024 katika eneo la Kijiji Cha Makumbusho Ki...

TAMASHA la Utamaduni wa Mtanzania Jamii ya Wanyakyusa, linatarajiwa kuanza Septemba 27 hadi 29, 2024 katika eneo la Kijiji Cha Makumbusho Kijitonyama Jijini Dar es salaam, lengo likiwa ni kuwakutanisha watu mbalimbali hususani wa jamii ya kinyakyusa pamoja na kuona na kujifunza mira na tamaduni za mnyakyusa.

 

Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mbeya, Patrick Mwalunenge, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi siku ya ufunguzi wa tamasha hilo, ambalo litafanyika kwa muda huo wa siku tatu, likitarajiwa kuhudhuliwa na watu zaidi ya 5000, kutoka ndani na nje ya Dar es Salaam.

Ambapo watu hao watapata fursa ya kujionea vitu mbalimbali vya asili ya jamii ya wanyakyusa ikiwa pamoja na Ngoma maarufu kama ‘ Mang’oma, muziki, vyakula vya asili, vinywaji ikiwemo pombe aina ya Kimpumu, Komoni, Kyindi na nyumba zinazoakisi uhalisia wa jamii ya watu wa Mkoa wa Mbeya.

 

Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi, Enelyn Mwakapila, amewaomba wananchi wote hususani wa jamii ya kinyakyusa kujitokeza kwa wingi kuhudhuria katika tamasha hilo, akisema kuwa kufanya hivyo kunakuza hadhi na kuheshimisha tamaduni za makabila ya Tanzania.

 

 

The post Tamasha la Utamaduni wa Mtanzania jamii ya Wanyakyusa kuanza Septemba 27 first appeared on Millard Ayo.



from Millard Ayo https://ift.tt/qWRdxQX
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Tamasha la Utamaduni wa Mtanzania jamii ya Wanyakyusa kuanza Septemba 27
Tamasha la Utamaduni wa Mtanzania jamii ya Wanyakyusa kuanza Septemba 27
https://millardayo.com/wp-content/uploads/2024/09/IMG-20240922-WA0001.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2024/09/tamasha-la-utamaduni-wa-mtanzania-jamii.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2024/09/tamasha-la-utamaduni-wa-mtanzania-jamii.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy