HomeHabariTop Stories

Amuua mwenzake kisa Sh 200

Mwanaume mmoja aliyefahamika Kwa jina la Kulwa Bosco (27) maarufu Kwa Jin la Rasta anashikiliwa na Jeshi la polisi mkoa wa Morogoro linàmshi...

Mwanaume mmoja aliyefahamika Kwa jina la Kulwa Bosco (27) maarufu Kwa Jin la Rasta anashikiliwa na Jeshi la polisi mkoa wa Morogoro linàmshikilia kulwa Bosco mkazi wa Kijiji cha Sinyaulime Tarafa ya Ngeregere Wilaya na Mkoa Morogoro kwa tuhuma za kumuua Hussein Nyabu (35)kwa kumchoma na kitu chenye ncha Kali kifuani na kusababisha kifo chake.

 

Akitoa taarifa yake kwa waandishi wa Habari kamanda wa Jeshi la polisi mkoa wa Morogoro SACP Alex Mkama amesema kuwa chanzo Cha tukio hilo ni ugomvi uliosababishwa na mtuhumiwa na marehemu kugombea Shilingi 200 wakati wakicheza mchezo wa pool Table ndipo mtuhumiwa alitoa kitu chenye ncha Kali na kumchoma marehemu

 

Tukio hili limetokea septemba 29 majira ya saa moja jioni katika kitongoji Cha Ngerengere Kaskazini Kata ya Ngerengere wilaya ya Morogoro vijijini katika baa moja maarufu kama maokoto

 

Jeshi la posili linawataka wananchi kuacha tabia ya kujichukulia Sheria Mkononi bali wajikite katika kufanya kazi za kujiingizia kipato.

 

 

The post Amuua mwenzake kisa Sh 200 first appeared on Millard Ayo.



from Millard Ayo https://ift.tt/FDskG9j
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Amuua mwenzake kisa Sh 200
Amuua mwenzake kisa Sh 200
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2024/09/amuua-mwenzake-kisa-sh-200.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2024/09/amuua-mwenzake-kisa-sh-200.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy