Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amepiga picha ‘selfie’ na Wananchi wa Morogoro leo August 06,2024 wakati akiondoka katika uwanja ...
Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amepiga picha ‘selfie’ na Wananchi wa Morogoro leo August 06,2024 wakati akiondoka katika uwanja wa Jamhuri Mkoani Morogoro mara baada ya kuwahutubia katika mkutano hadhara ambapo leo Rais Samia amehitimisha ziara yake Morogoro.










The post Picha: Selfie ya Rais Samia ‘Bye Bye Morogoro’ first appeared on Millard Ayo.
from Millard Ayo https://ift.tt/tlVw1eq
COMMENTS