Kongamano la Wanaume DSM, Mwenyekiti asema chakula bure “Mtakunywa supu, usafiri upo”
HomeHabariTop Stories

Kongamano la Wanaume DSM, Mwenyekiti asema chakula bure “Mtakunywa supu, usafiri upo”

Katika hali ambayo haijazoeleka Mwenyekiti wa Wanaume Kanisa la CLGN lenye Makao Makuu yake Kinyerezi Dar es Salaam, Obadia Mushi amesema wa...

Katika hali ambayo haijazoeleka Mwenyekiti wa Wanaume Kanisa la CLGN lenye Makao Makuu yake Kinyerezi Dar es Salaam, Obadia Mushi amesema watatoa chakula bure katika kongamano litakalowahusu wanaume tu.

Akizungumza jijini Dar es Salaam wakati wa kugawa vipeperushi, Mushi amesema ;

“Tukio litafanyika 20/7/2024 siku ya Jumamosi tutakuwa na kongamano la Wanaume litakalofayika Mbezi Beach Goigi, mnakaribishwa wote wanaume tujumuike kwa pamoja katika eneo la kukombolewa fikra, kushamiri kiroho na kimwili na kupata neno la Mungu,”

“Chakula ikiwemo supu kuanzia asubuhi na kuendelea ni msile nyumbani kwenu mje kula kanisani kwetu siku ya Jumamosi na usafiri upo,”.

The post Kongamano la Wanaume DSM, Mwenyekiti asema chakula bure “Mtakunywa supu, usafiri upo” first appeared on Millard Ayo.



from Millard Ayo https://ift.tt/rGhA8sj
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Kongamano la Wanaume DSM, Mwenyekiti asema chakula bure “Mtakunywa supu, usafiri upo”
Kongamano la Wanaume DSM, Mwenyekiti asema chakula bure “Mtakunywa supu, usafiri upo”
https://millardayo.com/wp-content/uploads/2024/07/IMG-20240718-WA0011-1-950x534.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2024/07/kongamano-la-wanaume-dsm-mwenyekiti.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2024/07/kongamano-la-wanaume-dsm-mwenyekiti.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy