Waziri Bashe: Tutaimarisha Sekta Ya Kilimo Cha Umwagiliaji
HomeHabari

Waziri Bashe: Tutaimarisha Sekta Ya Kilimo Cha Umwagiliaji

WAZIRI wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe, amewahakikishia wadau wa Sekta ya Kilimo kuwa kipaumbele cha Serikali ni kuimarisha Sekta ya Kilimo...

SUPER – NHESHA: Dawa Bora Ya Kutibu Tatizo La Kisukari
Majaji Walioteuliwa na Rais Samia kuapishwa kesho, wakuu wa mikoa keshokutwa
Kanuni bora za ufugaji wa kuku wa kienyeji(kuku Asili)....Soma Hapa Uwe Tajiri

WAZIRI wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe, amewahakikishia wadau wa Sekta ya Kilimo kuwa kipaumbele cha Serikali ni kuimarisha Sekta ya Kilimo cha umwagiliaji ili kupunguza adha ya kutegemea kilimo cha mvua.

Ameyazungumza hayo Mkoani Morogoro wakati anafungua mkutano wa wadau wa kilimo cha Umwagiliaji ulioandaliwa na Benki ya Dunia kwa kushirikiana na Tume ya Taifa ya Umwagiliaji  Juni 15, 2022.

Waziri Bashe amesema katika bajeti ya fedha ya mwaka 2022/23, Serikali imetenga shilingi Bilioni 364 katika Sekta ya Kilimo cha Umwagiliaji, pia kuna ongezeko la Bilioni 50 ambazo zimetengwa ili kuleta mafanikio chanya katika Sekta hiyo.

Aidha Serikali kupitia Wizara ya Kilimo itatangaza hekta elfu 10 kwa ajili ya Kilimo cha Umwagiliaji.

Waziri Bashe ameongeza kuwa kutokana na Rais Wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan kuwa na utashi wa kisiasa katika Sekta ya Kilimo, Serikali imedhamiria kuwekeza katika kilimo cha Umwagiliaji.

Serikali imetenga hekta Elfu 20 kwa ajili ya mashamba ya Vijana ambayo yatatengenezewa miundombinu ya Umwagiliaji ili kupunguza tatizo la ajira nchini.

Waziri Bashe alimalizia kwa kuwa Serikali imefungua milango kwa wadau wote wa Sekta ya Kilimo kupeleka mawazo yatakayochochea matokeo chanya na kuinua Sekta ya Kilimo nchini.


Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Waziri Bashe: Tutaimarisha Sekta Ya Kilimo Cha Umwagiliaji
Waziri Bashe: Tutaimarisha Sekta Ya Kilimo Cha Umwagiliaji
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiSKegqrQC0R_2ZtJYH-WYWvJAfLdLHVpe0dW3dowbUhj8d82z7cHDFs51MnI0hEZ_MLkkn6Xs_kyRyCvw0iIIDZ69ylf6WXbEVp_e9p9O1XaqzwGKSKOHhIt6w7zHFZWJeEIlZXUg52BsN9uMqyx78ObV-vD3aUZ7flfcQrffDO9lCQTNxC6ux6ZFF1w/s16000/WhatsApp%20Image%202022-06-15%20at%207.38.44%20PM.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiSKegqrQC0R_2ZtJYH-WYWvJAfLdLHVpe0dW3dowbUhj8d82z7cHDFs51MnI0hEZ_MLkkn6Xs_kyRyCvw0iIIDZ69ylf6WXbEVp_e9p9O1XaqzwGKSKOHhIt6w7zHFZWJeEIlZXUg52BsN9uMqyx78ObV-vD3aUZ7flfcQrffDO9lCQTNxC6ux6ZFF1w/s72-c/WhatsApp%20Image%202022-06-15%20at%207.38.44%20PM.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2022/06/waziri-bashe-tutaimarisha-sekta-ya.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2022/06/waziri-bashe-tutaimarisha-sekta-ya.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy