Urusi yasema vikosi vyake vimechukua udhibiti kamili wa Sieverodonetsk
HomeHabari

Urusi yasema vikosi vyake vimechukua udhibiti kamili wa Sieverodonetsk

Urusi imesema vikosi vyake vimechukua udhibiti kamili wa mji wa mashariki mwa Ukraine wa Sieverodonetsk.  Wizara yake ya Ulinzi imesema ...


Urusi imesema vikosi vyake vimechukua udhibiti kamili wa mji wa mashariki mwa Ukraine wa Sieverodonetsk. 

Wizara yake ya Ulinzi imesema vikosi vyao vimechukua pia udhibiti wa mji jirani wa Borivske. 

Hapo awali, Ukraine ilisema vikosi vyao vilijiondoa Sieverodonetsk baada ya siku kadhaa za mapigano makali. Kwa kuukamata Sieverodonetsk, inamaanisha Urusi sasa inadhibiti takriban eneo zima la Luhansk Oblast katika mkoa wa Donbas. 

Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amekiri kuwa vita hivyo vimefikia kipindi kigumu sana, lakini ameapa kwamba mashambulizi ya Urusi hayatavunja nia ya Waukraine.



Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Urusi yasema vikosi vyake vimechukua udhibiti kamili wa Sieverodonetsk
Urusi yasema vikosi vyake vimechukua udhibiti kamili wa Sieverodonetsk
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh8g4Rvyh9L2_ti1g5WQ2HmcWHOnyHU5LpgV0OLUoggXFzswDsiqzwkUZ-ulHzIam2wD1NgK1AgVvw3Aew_ZdHZMkwwiXZiALKaY-SG-yc7wjb42tooJxaQYKqbfginMcxK_Lazm0IZTlewVAb-rMPaSkEOGUKudBqWUuRvWfvLIyFwyyYXN1nqgLMQcw/s16000/1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh8g4Rvyh9L2_ti1g5WQ2HmcWHOnyHU5LpgV0OLUoggXFzswDsiqzwkUZ-ulHzIam2wD1NgK1AgVvw3Aew_ZdHZMkwwiXZiALKaY-SG-yc7wjb42tooJxaQYKqbfginMcxK_Lazm0IZTlewVAb-rMPaSkEOGUKudBqWUuRvWfvLIyFwyyYXN1nqgLMQcw/s72-c/1.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2022/06/urusi-yasema-vikosi-vyake-vimechukua.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2022/06/urusi-yasema-vikosi-vyake-vimechukua.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy