Spika : Bunge halijibu chokochoko za mitandaoni
HomeHabari

Spika : Bunge halijibu chokochoko za mitandaoni

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia Ackson amesema kwa sasa Tanzania ina maelewano mazuri na jirani zake na si v...

PICHA VURUGU KUBWA ZILIZOTOKEA JANA MJINI IRINGA ,POLISI WALAZIMIKA KUTUMIA MABOMU,NI KATIKA ENEO LA IPOGOLO
Wananchi walala nje na watoto baada ya nyumba na mashamba yao kufyekwa mkoani Arusha.
Bakora sita za Ukawa kwa CCM


Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia Ackson amesema kwa sasa Tanzania ina maelewano mazuri na jirani zake na si vinginevyo.

Spika Tulia amelazimika kutoa kauli hiyo bungeni jijini Dodoma baada ya mbunge wa viti maalum Agnes Marwa kudai bungeni kuwa baadhi ya nchi jirani na Tanzania zimeanza chokochoko.

Ametoa madau hayo wakati akichangia mjadaka wa bajeti kuu wa serikali kwa mwaka wa fedha wa 2022/2023 katika sekta ya utalii.

“Huu ni mhimili wa bunge na hizi taarifa zimekuja kwa njia za mitandao, bunge haliwezi kujibu chokochoko za mitandao kwa kutumia bunge, wabunge tujikite katika hoja zetu za maendeleo ya nchi yetu, mpaka sasa bunge taarifa iliyonayo ni ile aliyotoa Waziri Mkuu hapa bungeni, hiyo ndio taarifa ya serikali kuhusu Ngorongoro na Loliondo.” amesema Spika Tulia

Pia Spika amesema kwa hizo chokochoko anaona ni vema wenye nia ya kujibu waende kwenye taarifa husika zilipotoka (mitandao) ili wakajibu huko na sio kutumia mhimili wa bunge.



Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Spika : Bunge halijibu chokochoko za mitandaoni
Spika : Bunge halijibu chokochoko za mitandaoni
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgBImWqh-rwVmQ-tRgCnz8tF1Chs6HwUIz80utYreelk3mAy2wTngGOlrGnZN5j2jCkQwprX5mYiGm_7Y72kEvrZyEb67v_41o58G2XaCajXtOOm586Vsa8xmO9_5JeEr6VwwFvKia3PlT-veZ2m7Gv58N6szf8rBWrBdvAmOjMkahB7Mf2f4KacVvTfQ/w640-h358/9k=.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgBImWqh-rwVmQ-tRgCnz8tF1Chs6HwUIz80utYreelk3mAy2wTngGOlrGnZN5j2jCkQwprX5mYiGm_7Y72kEvrZyEb67v_41o58G2XaCajXtOOm586Vsa8xmO9_5JeEr6VwwFvKia3PlT-veZ2m7Gv58N6szf8rBWrBdvAmOjMkahB7Mf2f4KacVvTfQ/s72-w640-c-h358/9k=.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2022/06/spika-bunge-halijibu-chokochoko-za.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2022/06/spika-bunge-halijibu-chokochoko-za.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy