Tangazo La Nafasi Za Masomo shule ya Lake Tanganyika
HomeHabari

Tangazo La Nafasi Za Masomo shule ya Lake Tanganyika

  Tangazo tangazo tangazo...!!! Uongozi wa shule za Lake Tanganyika  zilizopo mkoa wa Kigoma na wilaya ya Kigoma vijijin unapenda kuwatang...

 Tangazo tangazo tangazo...!!!
Uongozi wa shule za Lake Tanganyika  zilizopo mkoa wa Kigoma na wilaya ya Kigoma vijijin unapenda kuwatangazia nafasi za masomo Kama ifuatavyo;


Nafasi za masomo kidato Cha tano kwa tahasusi zifuatazo HGK,HGL, na HKL .Mwombaji awe na sifa zifuatazo;- awe na C tatu na asiwe na F kwenye comb
 

Pia Kuna nafasi ya kuhamia kidato Cha Kwanza,tatu na sita

Na pia tuna shule ya msingi yaani English medium Kuna nafasi za kuhamia standard one Hadi standard three 


Ada zetu ni rafiki Sana na zinawezekana kwa kila mzazi kumlipia mtoto upande wa secondary ada zetu ni laki Tisa tu kwa mwaka na primary ada zetu ni milioni moja tuu kwa mwaka
 

Shule Ina mazingira mazuri na walimu wa kutosha wa kuwezesha mwanao kufaulu
 

Shule ni bweni tu kwa wasichana na wavulana na inachukua dini zote
 

Kwa mawasiliano zaidi fika shuleni au piga namba zifuatazo
0769697667,0765530794,0624469016,



Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Tangazo La Nafasi Za Masomo shule ya Lake Tanganyika
Tangazo La Nafasi Za Masomo shule ya Lake Tanganyika
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEim2QnQdu6MYy7pwv9IR6NAgAbJ-hlvhQtm97M0k3y79AzLUQcp8-mbaD_UM82BfAbHqMoiEpRNf-2HTkWrlPognJTw-hQqB_YTp2QfBFZdoMFz1y81yt5joq7VEb9oGPCLFyZ7jqk_0wpMz4nT-EqwsdcvwObecCWKxl_CTZl1W_WAdIxNjV1z7mAJaw/s1600/IMG-20220520-WA0003.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEim2QnQdu6MYy7pwv9IR6NAgAbJ-hlvhQtm97M0k3y79AzLUQcp8-mbaD_UM82BfAbHqMoiEpRNf-2HTkWrlPognJTw-hQqB_YTp2QfBFZdoMFz1y81yt5joq7VEb9oGPCLFyZ7jqk_0wpMz4nT-EqwsdcvwObecCWKxl_CTZl1W_WAdIxNjV1z7mAJaw/s72-c/IMG-20220520-WA0003.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2022/05/tangazo-la-nafasi-za-masomo-shule-ya.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2022/05/tangazo-la-nafasi-za-masomo-shule-ya.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy