Tangazo La Nafasi Za Mafunzo Ya Ualimu Ngazi Ya Astashahada Ya Ualimu Elimu Ya Awali, Msingi Na Stashahada Ya Ualimu Elimu Sekondari Kwa Mwaka Wa Masomo 2022/2023
HomeHabari

Tangazo La Nafasi Za Mafunzo Ya Ualimu Ngazi Ya Astashahada Ya Ualimu Elimu Ya Awali, Msingi Na Stashahada Ya Ualimu Elimu Sekondari Kwa Mwaka Wa Masomo 2022/2023

UTANGULIZI Katibu Mkuu Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia anatangaza nafasi za mafunzo ya Ualimu kwa ngazi ya Astashahada ya Ualimu E...


UTANGULIZI

Katibu Mkuu Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia anatangaza nafasi za mafunzo ya Ualimu kwa ngazi ya Astashahada ya Ualimu Elimu ya Awali, Msingi na Stashahada ya Ualimu Elimu ya Sekondari (Sayansi miaka mitatu). Waombaji wa mafunzo haya ni wahitimu wa Kidato cha NNE wenye ufaulu wa Daraja la Kwanza hadi la Tatu (I-III). Wizara inakaribisha maombi ya kujiunga na mafunzo ya Ualimu katika Vyuo vya Serikali na visivyo vya Serikali kwa kuzingatia sifa zilizobainishwa katika tangazo hili.

SIFA ZA KUJIUNGA NA MAFUNZO YA UALIMU

Sifa za jumla za kujiunga na Mafunzo ya Ualimu Tarajali ngazi ya Astashahada ya Ualimu Elimu ya Awali na Msingi na Stashahada ya Ualimu Elimu ya Sekondari (sayansi miaka mitatu) ni wahitimu wa Kidato cha Nne wenye ufaulu wa Daraja la I-III.

AINA YA MAFUNZO NA SIFA

Jedwali lifuatalo linaonesha aina ya mafunzo ya Ualimu, sifa za kujiunga, vyuo vinavyotoa mafunzo hayo na muda wa mafunzo.

==>>BOFYA HAPA KUPAKUA FOMU, VIGEZO NA KUTUMA MAOMBI .

 

  • Mwisho wa kutuma maombi kwa Mafunzo ya Ualimu ni tarehe 31/05/2022.  

 



Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Tangazo La Nafasi Za Mafunzo Ya Ualimu Ngazi Ya Astashahada Ya Ualimu Elimu Ya Awali, Msingi Na Stashahada Ya Ualimu Elimu Sekondari Kwa Mwaka Wa Masomo 2022/2023
Tangazo La Nafasi Za Mafunzo Ya Ualimu Ngazi Ya Astashahada Ya Ualimu Elimu Ya Awali, Msingi Na Stashahada Ya Ualimu Elimu Sekondari Kwa Mwaka Wa Masomo 2022/2023
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhH6LlRZc9i0DDHErweT0d1_LqoMLRNrGHMWmNd7qeY5O931Ys1kqPPl6rPSENKNPPWCl-v4lLcuPtAhAEFpjBwC-HQB3YrrkMsAR9a_1mawBSdPR07ywq1NZpxF9-9r0UhidsYZIEy6eKB0UPWpmslmVOmLpL5kz4peJsqnAxqzzQ_mMlDF_mxgoCUVA/s16000/1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhH6LlRZc9i0DDHErweT0d1_LqoMLRNrGHMWmNd7qeY5O931Ys1kqPPl6rPSENKNPPWCl-v4lLcuPtAhAEFpjBwC-HQB3YrrkMsAR9a_1mawBSdPR07ywq1NZpxF9-9r0UhidsYZIEy6eKB0UPWpmslmVOmLpL5kz4peJsqnAxqzzQ_mMlDF_mxgoCUVA/s72-c/1.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2022/05/tangazo-la-nafasi-za-mafunzo-ya-ualimu.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2022/05/tangazo-la-nafasi-za-mafunzo-ya-ualimu.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy