Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Makatibu Wakuu wa Wizara, Watendaji Wakuu wa Idara Zinazojitegemea, ...
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Makatibu Wakuu wa Wizara, Watendaji Wakuu wa Idara Zinazojitegemea, Makatibu Tawala wa Mikoa, Wakurugenzi wa Halmashauri za Jiji/Manispaa/Miji na Wilaya anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi Elfu moja mia tisa na nne (1904) kama ilivyoainishwa katika tangazo hili.
==>>BOFYA HAPA KUTAZAMA NAFASI 1904 ZA KAZI NA KUTUMA MAOMBI
Credit: MPEKUZI
Thanks for your time please share with your friends
COMMENTS