Russia yatahadharisha kuhusu uwezekano wa kutokea vita vya nyuklia
HomeHabari

Russia yatahadharisha kuhusu uwezekano wa kutokea vita vya nyuklia

Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia imesisitiza udharura wa wa kuzuia kujiri vita vya nyuklia. Moscow imeeleza hayo kutokana na wasiwasi juu...


Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia imesisitiza udharura wa wa kuzuia kujiri vita vya nyuklia. Moscow imeeleza hayo kutokana na wasiwasi juu ya uwezekano wa kushuhudiwa vita vya nyuklia duniani.

Sambamba na kutumia siku ya 67 tangu kuanza mashambulizi ya nchi yake dhidi ya Ukraine, Sergei Lavrov amesisitiza kwamba mapigano   ya silaha baina ya madola yanayomiliki silaha za nyuklia yanapaswa kuepukwa.

Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia ameeleza kuwa, nchi wanachama wa Muungano wa Kiijeshi wa Nchi za Magharibi (NATO) hazisiti kufanya lolote ili kuzuia makubaliano ya kisiasa kati ya Moscow na Kiev, na ameitaka NATO na Marekani kuacha kuipatia silaha na zana za kijeshi serikali ya Ukraine.

Baada ya viongozi wa maeneo yaliyojitangazia uhuru ya Donetsk na Luhansk huko mashariki ya Ukraine kuiomba Russia iwatumie misaada ya kijeshi kwa mujibu wa makubaliano ya ushirikiano kati yao,  Rais Vladimir Putin wa Russia tarehe 24 Februari alitangaza kuanza operesheni maalumu ya kijeshi nchini Ukraine.

Marekani na watifaki wake wameiwekea Russia vikwazo kutokana na Moscow kuwaunga mkono raia  wa Russia huko mashariki mwa Ukraine na pia kufuatia hatua ya Russia ya kutangaza kutambua rasmi uhuru wa aeneo ya Donetsk na Luhans. Russia imetangaza mara kadhaa kwamba haitaruhusu nchi hiyo ikabiliwe na vitisho kupitia Ukraine.




Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Russia yatahadharisha kuhusu uwezekano wa kutokea vita vya nyuklia
Russia yatahadharisha kuhusu uwezekano wa kutokea vita vya nyuklia
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjUsU-NLGlaprZzdTsHc31-4jT6JnwVv3JoXYQobB8QiyWyEryIRtKbpmlD4NCNb7I467MyVQZly2R5Z1xtIi6Sgfs3q9DSjFr7qqsfAWJ04FD9AsY57x-KOco-PFmRI9GCTjxZeQG5h8atM3RGPxxWxm42QgAMPh14NbhSsASAha0q8sPSrdf634Vkyg/s16000/1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjUsU-NLGlaprZzdTsHc31-4jT6JnwVv3JoXYQobB8QiyWyEryIRtKbpmlD4NCNb7I467MyVQZly2R5Z1xtIi6Sgfs3q9DSjFr7qqsfAWJ04FD9AsY57x-KOco-PFmRI9GCTjxZeQG5h8atM3RGPxxWxm42QgAMPh14NbhSsASAha0q8sPSrdf634Vkyg/s72-c/1.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2022/05/russia-yatahadharisha-kuhusu-uwezekano.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2022/05/russia-yatahadharisha-kuhusu-uwezekano.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy