DART yapendekeza nauli mpya za mwendokasi
HomeHabari

DART yapendekeza nauli mpya za mwendokasi

Wakala wa Mabasi yaendayo Haraka (DART) umependekeza nauli kwa njia jumuishi kuwa shilingi 1,500 kutoka shilingi 800 inayotozwa hivi sasa...


Wakala wa Mabasi yaendayo Haraka (DART) umependekeza nauli kwa njia jumuishi kuwa shilingi 1,500 kutoka shilingi 800 inayotozwa hivi sasa.

DART imetoa mapendekezo hayo katika kipindi hiki ambapo Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini (LATRA) ikitarajia kufanya mabadiliko ya nauli kwa mabasi hayo yaendeyo haraka maarufu mwendokasi.

Kwa mujibu wa taarifa ya LATRA, wameitisha mkutano wa wadau kutoa maoni ya nauli ya mabasi hayo baada ya kupokea maombi ya kurejea nauli za mabasi hayo kwa mkoa wa Dar es Salaam kutoka DART.

Katika mapendekezo yake DART inataka njia kuu ambazo abiria wanatozwa shilingi 650 kwa sasa ipandishwe hadi shilingi 1,200 na kwa njia ambazo abiria wanatozwa shilingi 400 kwa sasa ipande hadi kufikia shilingi 600.

Kwa upande wa njia jumuishi ambazo nauli shilingi 800, DART imependekeza abiria watozwe shilingi elfu 1,500 na kwa wanafuzi wanaotozwa shilingi 200 imependekezwa walipe shilingi 300.



Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: DART yapendekeza nauli mpya za mwendokasi
DART yapendekeza nauli mpya za mwendokasi
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgls6_Y35VPo53XMAsNwb8jTqYgQHhhanz4YWiSwbR9tz7MpJjnpKzHWK5Q2z3kRpBiHjbWHGs-Nh1NzWkz-4tG-zZscIsziQY29s3SnUT6U8-Fd7m_dSIi-m7PeD8j6cRY7Oj8ScUaHujnJWgPh21lE95AAmr0KclQokvUVtEHGknxUAy11Lu0HpwIxA/s16000/1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgls6_Y35VPo53XMAsNwb8jTqYgQHhhanz4YWiSwbR9tz7MpJjnpKzHWK5Q2z3kRpBiHjbWHGs-Nh1NzWkz-4tG-zZscIsziQY29s3SnUT6U8-Fd7m_dSIi-m7PeD8j6cRY7Oj8ScUaHujnJWgPh21lE95AAmr0KclQokvUVtEHGknxUAy11Lu0HpwIxA/s72-c/1.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2022/05/dart-yapendekeza-nauli-mpya-za.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2022/05/dart-yapendekeza-nauli-mpya-za.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy