Wizara ya Afya yatangaza nafasi 1650 za ajira ...Bofya Hapa Kutuma maombi
HomeHabari

Wizara ya Afya yatangaza nafasi 1650 za ajira ...Bofya Hapa Kutuma maombi

Wizara ya Afya imetangaza nafasi za ajira 1650 kwa wataalamu wa kada mbalimbali za afya nchini. Taarifa iliyotolewa leo Jumamosi April...


Wizara ya Afya imetangaza nafasi za ajira 1650 kwa wataalamu wa kada mbalimbali za afya nchini.

Taarifa iliyotolewa leo Jumamosi Aprili 16, 2022 na Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Profesa Abel Makubi imeeleza kuwa wizara hiyo imepata kibali cha kuajiri ambapo wataalamu hao wataajiriwa na kupangiwa vituo vya kazi ambavyo vipo chini ya uendeshaji wa moja kwa moja wa wizara hiyo.

Miongoni mwa nafasi hizo, zipo za madaktari bingwa (25), madaktari (215), wafamasia(15), maafisa maabara(62), wateknolojia (dawa, maabara, mionzi, macho-155), maafisa uuguzi (140), maafisa uuguzi wasaidizi (467), wauguzi (140), wakemia (2), madaktari wa afya kinywa na meno (15), tabibu meno (19), watoa tiba kwa vitendo (15), wazoeza viungo kwa vitendo(31), maafisa wazoeza viungo (33), maafisa afya mazingira(40), wasaidizi wa afya (134), wahandisi vifaa tiba (17), wateknolojia vifaa tiba (40) , watunza kumbukumbu wa wfya (10) na madereva (4).

 

==>>BOFYA HAPA Kutazama  na Kutuma Maombi

_______



Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Wizara ya Afya yatangaza nafasi 1650 za ajira ...Bofya Hapa Kutuma maombi
Wizara ya Afya yatangaza nafasi 1650 za ajira ...Bofya Hapa Kutuma maombi
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj0lthzh613P18edDk2ePbpH4N8Vq5vjYfAck7LrahYwrifrj9SF45URIOyPFZ1jsug0hwSlZApAnoM3Icl46W_0FCORfdEsJy8ocZclWIFEJ_WnEGsgriNtTNiI2fj1GtkaFVT8rlyc7FCyU9BoB-o2_eoEfongTkgjjD938IKXYN6IoLnFBMsJHi8qA/s16000/1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj0lthzh613P18edDk2ePbpH4N8Vq5vjYfAck7LrahYwrifrj9SF45URIOyPFZ1jsug0hwSlZApAnoM3Icl46W_0FCORfdEsJy8ocZclWIFEJ_WnEGsgriNtTNiI2fj1GtkaFVT8rlyc7FCyU9BoB-o2_eoEfongTkgjjD938IKXYN6IoLnFBMsJHi8qA/s72-c/1.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2022/04/wizara-ya-afya-yatangaza-nafasi-1650-za.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2022/04/wizara-ya-afya-yatangaza-nafasi-1650-za.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy