Watu Wawili Wauawa Kwa Tuhuma Za Kufanya Uhalifu Tabora
HomeHabari

Watu Wawili Wauawa Kwa Tuhuma Za Kufanya Uhalifu Tabora

 Na Lucas Raphael,Tabora Miili ya vijana wawili wanaokadiriwa kuwa na umri kati ya miaka 29 na 25  imekutwa imetelekezwa pembezoni mwa b...

Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo January 22
IGP Sirro Awavalisha Nishani Maofisa, Wakaguzi Na Askari 123
Makampuni Zaidi Ya Nane Ya Kitanzania Yazidi Kunadi Utalii Wa Uwindaji Nchini Marekani


 Na Lucas Raphael,Tabora
Miili ya vijana wawili wanaokadiriwa kuwa na umri kati ya miaka 29 na 25  imekutwa imetelekezwa pembezoni mwa barabara kuu inayotoka Tabora kuelekea Kigoma eneo la Kata ya Malolo manispaa ya Tabora baada ya kupingwa na watu wenye hasira kali kwa tuhuma za kuvunja na kuiba.

Kamanda  wa  Polisi mkoa wa Tabora ACP Richard Abwao akitoa Taarifa kwa vyombo vya habari jana ofisini kwake alisema kuwa tukio hilo lilitokea katika kata ya malolo manispaa ya Tabora mkoani hapa

Alisema kwamba taarifa za awali  zinasema vijana hao wanadaiwa kuuawa majira ya usiku wa kuamkia aprili 9 mwaka huu ambapo maiti zao zilikutwa zimetelekezwa majira ya saa 1 na Robo Asubuhi mpembezoni mwa barabara ya Kigoma .

Kamanda huyo wa polisi alisema watu hao walituhumiwa kuusika katika tukio la uhalifu ambalo wanadaiwa kuvamia nyumba  moja wakitaka kufanya uhalifu hali iliyosababisha wananchi kujitokeza na kuanza kuwashambulia hadi kusababisha vifo vyao.

Aidha jeshi la polisi lilifanikiwa kumtambua moja kati ya wawili hao ambao ni Masudi mrisho (29) mkazi wa malolo na mwingine anakadiriwa kuwa na umri wa miaka 25 hakufahamika  jina wala sehemu anakoishi.

Abwao alisema kwamba watu hao walikutwa majeraha makubwa sehemu mbalimbali ya miili yao yaliyosabishwa na kipigo walichokipata .

Hata hivyo kamanda huyo wa polisi mkoa wa Tabora alisema kwamba wanafanya msako mkali kubaini watu walifanya uhalifu huo kwani kitendo cha kujichukulia sheria mkononi ni kosa hivyo itakuwa ni onyo kwa watu wengine wanaojichukulia sheria .

“Ni marufuku kwa wananchi sehemu yoyote mkoani Tabora kujichukulia sheria mkononi na yoyote atakaye bainika kujichukulia sheria mkononi hatambue kufanya hivyo kosa kisheria na sheria haitamuacha mtu salama itamuajibisha kwa kufikisha kwenye vyombo vya sheria ”alisema Abwao.

Aidha kamanda huyo alitoa wito kwa wananchi kuacha kitendo cha kujichukulia sheria mkononi hivyo ni muhimu  watuhumiwa wanapokamatwa wapelekwe kwenye vituo vya polisi salama kwa ajili ya mahojiano ili kubaini watu hao mtandao wao wa uhalifu wanashirikianana kinanani ,wahalifu kutoka maeneo gani  na kufahamu mali zilizoibiwa siku za nyumba .              



Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Watu Wawili Wauawa Kwa Tuhuma Za Kufanya Uhalifu Tabora
Watu Wawili Wauawa Kwa Tuhuma Za Kufanya Uhalifu Tabora
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhgjWCfkv0_WdVkCJbuYFz87HgfRTnayOOxl0tWKOYUyH3YJY3Dy9CCZbEymhi90hj8SipYVAOm5UyjKRwWNv3xLpdemag8K3hsBS1t21vkS90DaoaPzLsvbvvW0zAnARSbpTzHVq_Hos7vLhDS4xDbiwbRDBCa34tj7II8GeAON6e8LiXY32js1_We3A/s16000/1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhgjWCfkv0_WdVkCJbuYFz87HgfRTnayOOxl0tWKOYUyH3YJY3Dy9CCZbEymhi90hj8SipYVAOm5UyjKRwWNv3xLpdemag8K3hsBS1t21vkS90DaoaPzLsvbvvW0zAnARSbpTzHVq_Hos7vLhDS4xDbiwbRDBCa34tj7II8GeAON6e8LiXY32js1_We3A/s72-c/1.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2022/04/watu-wawili-wauawa-kwa-tuhuma-za.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2022/04/watu-wawili-wauawa-kwa-tuhuma-za.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy