TARURA, TANROAD Wakumbushwa Kuweka Majina Ya Barabara Ili Kurahisisha Operesheni Anwani Za Makazi
HomeHabari

TARURA, TANROAD Wakumbushwa Kuweka Majina Ya Barabara Ili Kurahisisha Operesheni Anwani Za Makazi

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Nauye amezikumbusha taasisi za TANROAD na TARURA kuweka majina ya baraba...

Korea Kaskazini yarusha tena kombora la masafa mafupi katika bahari ya Japan
Ufaransa Kukarabati Uwanja Wa Ndege “Terminal Two”
Tanzania, China Zaahidi Kuimarisha Misingi Ya Diplomasia


Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Nauye amezikumbusha taasisi za TANROAD na TARURA kuweka majina ya barabara ili kurahisisha Operesheni ya Anwani za Makazi

Akizungumza wakati wa ziara ya kukagua mwenendo wa utekelezaji wa Operesheni hiyo Mkoani Kilimanjaro, Waziri Nape amesisitiza kuwa iko hatari ya ukiritimba unaoweza kufanywa na baadhi ya watu kwa kujiita majina ya mitaa yote na barabara kwa kigezo cha kuchangia fedha za utekelezaji wa zoezi la uwekeji wa Anwani za Makazi.

“Haya ni maelekezo yaliyotolewa na Waziri Mkuu kwamba TANROAD  na TARURA kwasababu barabara zote ni za kwao wahakikishe wanaweka majina ya hizi barabara ili isaidie kasi ya kukamilisha zoezi hili na mie naomba niwakumbushe watekeleze maelekezo kwa kuweka majina ya hizi barabara ili kuzipunguzia mzigo halmashauri na kuongeza kasi ya utekelezaji wa operesheni .” Amesema Waziri huyo

Ameongeza kuwa, viongozi na wananchi wanatakiwa kuwa makini katika kuweka majina ya mitaa kwa kuwa kuna wadau wanajitolea, wanachangia fedha zao lakini ni vizuri majina yawe yenye uzalendo na yanayoendana na uhalisia wa nchi yetu yakiwemo majina ya viongozi  pamoja na watu mashuhuri.

Katika hatua nyingine, Waziri Nape ameonesha kuridhishwa na kasi ya utekelezaji wa operesheni hiyo katika Mkoa wa Kilimanjaro ambapo utekelezaji wake umefikia asilimia 99.1.


Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: TARURA, TANROAD Wakumbushwa Kuweka Majina Ya Barabara Ili Kurahisisha Operesheni Anwani Za Makazi
TARURA, TANROAD Wakumbushwa Kuweka Majina Ya Barabara Ili Kurahisisha Operesheni Anwani Za Makazi
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiXeSp1X5tnjrdOtnkoUQfOHQP9VDO110pivQcaBEKM0jedxhBD3ZoJkO1y21ug-IjrvENVheIx8rWU8PwMRqAOOkc-b0mI04h6zEnZAnp7NqkeBpymO_rq6Vd_Xhp7Z_0hc4_MGes9DAIcKAZJ--qXixEk6mBp5vak4DKpK37i0ee3dQhSdIpUjCfrpw/s16000/1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiXeSp1X5tnjrdOtnkoUQfOHQP9VDO110pivQcaBEKM0jedxhBD3ZoJkO1y21ug-IjrvENVheIx8rWU8PwMRqAOOkc-b0mI04h6zEnZAnp7NqkeBpymO_rq6Vd_Xhp7Z_0hc4_MGes9DAIcKAZJ--qXixEk6mBp5vak4DKpK37i0ee3dQhSdIpUjCfrpw/s72-c/1.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2022/04/tarura-tanroad-wakumbushwa-kuweka.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2022/04/tarura-tanroad-wakumbushwa-kuweka.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy