Ajali mbaya ya gari Njombe yaua watu wanne na kujeruhi 19
HomeHabari

Ajali mbaya ya gari Njombe yaua watu wanne na kujeruhi 19

Watu Nane wamefariki dunia na wengine 19 wamepata majeraha baada ya kutokea kwa ajali iliyohusisha magari mawili ambayo ni costear lenye...


Watu Nane wamefariki dunia na wengine 19 wamepata majeraha baada ya kutokea kwa ajali iliyohusisha magari mawili ambayo ni costear lenye namba za ushajili T287 CCY inayomilikiwa na kanisa Katoliki Njombe pamoja na Lori lililokuwa limebeba makaa ya mawe.

Kamanda Issa amesema waliofariki katika ajali hiyo ni Flora Mkinga, Teresia Mbuligwe, Benson Kigahe, Mariamu Mkulu, Eliezer Mwakipesile, Veronica Mwinuka, Alfred Mfuse na Frida Msigwa.

Aidha ameongeza kuwa majeruhi wa ajali hiyo wanaendelea kupatiwa matibabu katika hospital ya Rufaa Njombe pamoja na hospital ya Mji wa Njombe Kubena.
 

Akithibitisha kutokea kwa ajali hiyo Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe Hamis Issa amesema ajali hiyo imetokea jana Jumapili April 24, 2022 majira ya jioni katika eneo la Igima Wilayani Wanging’ombe ambapo Coster hiyo ilikuwa imebeba Vijana wa Umoja wa Vijana wa Katoliki (UVIKANJO) jimbo la Njombe.



Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Ajali mbaya ya gari Njombe yaua watu wanne na kujeruhi 19
Ajali mbaya ya gari Njombe yaua watu wanne na kujeruhi 19
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEipeXilrwtWaVEHa3MkiLgs8vTQOoOwwNrXlUAFn4OLVX9OTb3f8DZ2Pk_CUHiR7djSFrXNe_9nxPq2I22hMyaTOcaI8zoPuWe2dXMmduDNtPu4ma8fUhvBrArd5TNd6BFePRqRxJrQhksmbD17tMX98Q_Zi3Y8G1NHotLab1qOtZO3Fpo5H4en-sVQiA/s16000/1.jpeg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEipeXilrwtWaVEHa3MkiLgs8vTQOoOwwNrXlUAFn4OLVX9OTb3f8DZ2Pk_CUHiR7djSFrXNe_9nxPq2I22hMyaTOcaI8zoPuWe2dXMmduDNtPu4ma8fUhvBrArd5TNd6BFePRqRxJrQhksmbD17tMX98Q_Zi3Y8G1NHotLab1qOtZO3Fpo5H4en-sVQiA/s72-c/1.jpeg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2022/04/ajali-mbaya-ya-gari-njombe-yaua-watu.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2022/04/ajali-mbaya-ya-gari-njombe-yaua-watu.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy