Ndoa yangu na mume wangu ilikua yenye kutamaniwa na wengi. Tuliishi mjini katika makao ya wafanyakazi wa Serikali ambapo mume wangu alik...
Ndoa yangu na mume wangu ilikua yenye kutamaniwa na wengi. Tuliishi mjini katika makao ya wafanyakazi wa Serikali ambapo mume wangu alikua mhasibu serikalini.
Nilifanya kazi ya ususi Mjini Tabora ambapo nilikuwa na duka la kuuza bidhaa mbalimbali za kutia nakshi urembo. Hali ilikuwa shwari katika ndoa yetu.
Baada ya miaka miwili nilifanikiwa kupata mtoto wa kiume ambapo sasa hali ilianza kuwa ngumu kwani nilihitaji msaidizi pale nyumbani.
Nisingeweza kamwe kufanya kazi za usafi kwenye nyumba tulipokuwa tukiishi pia biashara yangu ambayo ilikuwa ndio kitega uchumi changu ingesimama iwapo ningetulia pale nyumbani tu baada ya kujifungua.
Nilipomweleza mume wangu kuwa nilikuwa katika mipango ya kutafuta binti wa kazi za ndani, alikubali maoni hayo bila ya pingamizi yeyote.
Baada ya wiki kadhaa nilifanikiwa kupata binti kwa jina Jenifer ambaye alikua msichana wa kati ya miaka kumi na nane hadi ishirini.
Alichapa kazi yake nyumbani vizuri bila kugombana wala kuleta vurugumechi. Hali ilikuwa shwari kwani nilipata nafasi ya kuendeleza biashara yangu mjini.
Ningechelewa kazini sikuwa na mashaka kwani nilijua fika kwamba pale nyumbani palikuwa na msaidizi .
Alikuwa ni binti ambaye hakupenda mazungumzo sana na mara nyingi mazungumzo yake ungeona kazi alizofanya. Alikuwa msichana mrembo ambae alikuwa katika uzuri wake kwani ilionekana wazi ndio ulikuwa wakati wake wa kukua.
Mume wangu hakuwa na shaka na binti huyu kwani aliifurahia kazi aliyoichapa pale nyumbani. Tulimchukulia Jenifer kama kifungua mimba wetu kwani hatukutaka kumchosha na kazi nyingi kwa wakati mmoja.
Wakati mwingine tulienda naye kutembea, mume wangu alimnunulia mavazi na pia kwa wakati mmoja tulifunga safari kwenda kuwatembelea wazazi wake.
Baada ya muda wa miezi mitatu tabia ya mume wangu ilianza kubadilika. Alianza kuwa karibu sana na Jenifer jambo ambalo sikulifurahia kama mke mwenye boma.
Nilianza ugomvi na binti huyo kwa sababu ya jambo hilo lakini mume wangu alinifokea kila mara nisijue la kufanya. Nilifahamu fika kwamba ukaribu wa Jenifer na mume wangu ungeleta uhusiano wa kimapenzi baina yao.
Tabia za mume wangu zilianza kubadilika kabisa kwani hata wakati mwingine alisusia kula chakula nilichokuwa nimekipika mimi mwenyewe kwa visingizio ambavyo sikuvielewa hata siku moja.
Kila wakati alitaka kula chakula ambacho binti wa kazi amekipika. Tabia ile ilinichukiza na pia kunitilia shaka kuwa mume wangu alikua anamtamani kimapenzi yule binti.
Kila wakati Jenifer alileta chakula mezani, alimpa mume wangu tabasamu la kufa mtu na kila nlipomuliza mume wangu mbona alikua ameaza kubadilika alisema kuwa wivu niliokuwa nao utaniua siku moja.
Alinihakikishia kwamba hakuwa na urafiki wowote na Jenifer lakini jinsi mambo yalivofanyika kwenye nyumba yetu nilijijazia kwamba lisemwalo lipo na kama halipo bila shaka lingefika.
Siku moja nilirejea nyumbani ghafla kwani nilikua nimesahau bidhaa fulani za ususi. Nilipofungua mlango nilimkuta mume wangu yupo na Jenifer kwenye chumba chetu cha kulala.
Kwa hakika kitu kilichokuwa kikifanyika gizani kilikiwa kimegunduliwa. Sikuwa na mengi ya kusema kwani nilimzaba Jenifer makofi huku mume wangu akikimbia.
Siku iliyofuata nilimfukuza Jenifer kutoka kwenye nyumba yetu kwani alikua kwenye harakati za kuvunja ndoa yangu. Mume wangu naye hakurudi nyumbani hadi siku 7
Nilitafuta binti mwingine baada ya majuma matatu kupita. Tabia za mume wangu zilikuwa ni zilezile za kutamani mabinti nilokuwa naajiri pale nyumbani.
Nilipomweleza rafiki yangu Amina mambo niliyokuwa napitia alinielekeza kwa Dr. Ngoso kwani alinieleza alisuluhisha mambo hayo kwa urahisi.
Siku iliyofuata nilimtafuta Dr Ngoso kwa namba yake ya simu na akanihudumia vizuri kwa kunieleza nn cha kufanya.. . Baada ya siku mbili hivi tabia ya mume wangu ilikuwa imeanza kubadilika.
Hakuwa tena na ile tabia ya kutabasamu kwa binti pale nyumbani. Baadaye alinambia kuwa alikua amebadilika na hakuna siku nyingine atarudia. . Tuliishi kwa upendo na tangu siku ile sijawahi muona akiwa na binti wa kazi.
Najua huenda kuna mwingine anayepitia haya kama ilivyokuwa kwangu,naomba nikupe mawasiliano ya Daktari Ngoso ili uwasiliane naye na kutatua changamoto zako katika ndoa.
Wasiliana na Ngoso Doctors kwa nambari +254718756944.(Whatsapp).Barua pepe: doctorngoso@gmail.com na tuvuti yake ni https://doctorngoso.com
Credit: MPEKUZI
Thanks for your time please share with your friends
COMMENTS