Ujenzi Ikulu Ya Chamwino Wafikia Asilimia 91,kukamilika mwezi Mei
HomeHabari

Ujenzi Ikulu Ya Chamwino Wafikia Asilimia 91,kukamilika mwezi Mei

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa jana Januari 16, 2022 amekagua maendeleo ya ujenzi wa Ikulu inayojengwa katika eneo la Chamwino, Jijini Dodom...


WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa jana Januari 16, 2022 amekagua maendeleo ya ujenzi wa Ikulu inayojengwa katika eneo la Chamwino, Jijini Dodoma na kusema ameridhishwa na kasi ya ujenzi na ubora wa majengo hayo na amemtaka mkandarasi ahakikishe mradi huo unakamilika mwezi mei mwaka huu.

Waziri Mkuu amewasisitiza wakandarasi kuhakikisha wanakamilisha mradi huo kwa wakati na kuwapongeza wote wanaohusika na ujenzi. “Tunataka kumuwezesha Mheshimiwa Rais kufanya kazi katika eneo lake maalum na afanye kazi katika mazingira mazuri na kwa ufanisi.”

“Nimefurahishwa na taarifa kwamba ujenzi huu umefikia asilimia 91 na hatua iliyobaki hizi asilimia 9 ni kazi ndogondogo kama uwekaji wa milango, njia za mifumo ya hewa na umeme na zote zinaenda vizuri.” Waziri Mkuu amesema kuwa Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan pia anatarajia kuona ujenzi huo unakamilika kwa wakati.

Waziri Mkuu amelipongeza Jeshi la Wananchi wa Tanzania kwa kutekeleza ujenzi huo kwa ufanisi. “Ramani iliyoko hapa iko sawasawa na jengo la Ikulu lililoko Dar es Salaam, Wakandarasi wetu mmefanya kazi kubwa sana, Hii imedhihirisha kuwa nchi yetu ina wataalam wa kutosha kujenga aina yoyote ya majengo.”

Kwa Upande wake Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Majengo Tanzania, Mhandisi Daudi Kondoro amemhakikishia Mheshimiwa Waziri Mkuu kwamba mradi huo utakamilika na kukabidhiwa mwezi Mei kama inavyotarajiwa kwani sasa uko katika hatua za mwisho za ukamilishaji.



Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Ujenzi Ikulu Ya Chamwino Wafikia Asilimia 91,kukamilika mwezi Mei
Ujenzi Ikulu Ya Chamwino Wafikia Asilimia 91,kukamilika mwezi Mei
https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEicoLz9VCYcUrLRvHfI7rsrfj-gzQQrrPIAB38RxglhDBR_xMro_VoI1w5VuiTb9g8zoJ2aNMghxp4DGka9w8VAJANpjUaZw035fnqZ_Ukmfimwot2Sk54k7hAVkNf43YGI-e4zL1-4XUV5hvyfjon6je4E3_6c4qLEF9V8H7xYOV15kia1GmZEH9iaOw=s16000
https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEicoLz9VCYcUrLRvHfI7rsrfj-gzQQrrPIAB38RxglhDBR_xMro_VoI1w5VuiTb9g8zoJ2aNMghxp4DGka9w8VAJANpjUaZw035fnqZ_Ukmfimwot2Sk54k7hAVkNf43YGI-e4zL1-4XUV5hvyfjon6je4E3_6c4qLEF9V8H7xYOV15kia1GmZEH9iaOw=s72-c
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2022/01/ujenzi-ikulu-ya-chamwino-wafikia.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2022/01/ujenzi-ikulu-ya-chamwino-wafikia.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy