Tanzania Yashiriki Mkutano Wa Kamati Ya Mawaziri Wa Sheria Wa SADC
HomeHabari

Tanzania Yashiriki Mkutano Wa Kamati Ya Mawaziri Wa Sheria Wa SADC

Tanzania imeungana na Nchi nyingine Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) kwenye Mkutano wa Kamati ya Mawaziri wa Sh...


Tanzania imeungana na Nchi nyingine Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) kwenye Mkutano wa Kamati ya Mawaziri wa Sheria na Wanasheria Wakuu wa Serikali uliofanyika leo tarehe 25/01/2022 kwa njia Video.

Mkutano huu umejadili kuhusu masuala mbalimbali ya kisheria sambamba na kufanya tadhimini na ufuatiliaji wa utekelezaji wa miongozo na itifaki mbalimbali za Jumuiya.

Miongoni mwa Agenda zilizojadiliwa katika Mkutano huu ni pamoja na; majadiliano ya Ushauri wa Kisheria kuhusu Kufanya Mikutano ya Double Troika, majadiliano ya Ushauri wa kisheria kuhusu Mapitio ya Hadidu za Rejea za Kamati ya Mabalozi na Makamishna Wakuu wa SADC walioidhinishwa na Jumuiya hiyo, kupitia na kufanya Marekebisho ya Mkataba wa Mahakama ya Utawala ya SADC,  kujadili Rasimu ya Mkataba wa Marekebisho ya Itifaki ya Maendeleo ya Utalii katika SADC na kujadili Mkataba wa Makubaliano ya Nchi Wanachama wa SADC kuhusu uanzishwaji wa Kituo cha Operesheni za Kibinadamu na Dharura cha Jumuiya.

Ujumbe wa Tanzania katika Mkutano huo umeongozwa na Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe. Jaji Dkt. Eliezer Mbuki Feleshi.


Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Tanzania Yashiriki Mkutano Wa Kamati Ya Mawaziri Wa Sheria Wa SADC
Tanzania Yashiriki Mkutano Wa Kamati Ya Mawaziri Wa Sheria Wa SADC
https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEiJjMxT8HS2C0expPgVBNFsNNUfgrULnUKpkVyazuDRpk-FN3Z1d4OoC_ubdokh6dio3BXxjzRl65d70espbD9E13AKMbCRkiFb8qKAYWbTEtskr7Kp3MKcbT8b61ZSEhvlzD28rXluiopxUro91v-Z-wdLzAAbm7cN_vVv6x_09uADvMkXbXG2mkI7kw=s16000
https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEiJjMxT8HS2C0expPgVBNFsNNUfgrULnUKpkVyazuDRpk-FN3Z1d4OoC_ubdokh6dio3BXxjzRl65d70espbD9E13AKMbCRkiFb8qKAYWbTEtskr7Kp3MKcbT8b61ZSEhvlzD28rXluiopxUro91v-Z-wdLzAAbm7cN_vVv6x_09uADvMkXbXG2mkI7kw=s72-c
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2022/01/tanzania-yashiriki-mkutano-wa-kamati-ya.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2022/01/tanzania-yashiriki-mkutano-wa-kamati-ya.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy