Rais Samia Afanya Uteuzi Wa Viongozi Mbalimbali
HomeHabari

Rais Samia Afanya Uteuzi Wa Viongozi Mbalimbali

Rais Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi wafuatao: – Kwanza, amemteua Prof. Ulingeta Mbamba kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Waku...


Rais Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi wafuatao: –

Kwanza, amemteua Prof. Ulingeta Mbamba kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara (TANTRADE).

Prof. Mbamba anachukua nafasi ya Dkt. Ng’wanza Kamata Soko aliyemaliza muda wake.

Prof. Mbamba ni Profesa Mshiriki na Amidi wa Shule Kuu ya Biashara, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.

Pili, amemteua Bi. Zuhura Sinare Muro kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL).

Bi. Muro ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Ushauri Elekezi ya Kazi Service Limited na Mkufunzi wa muda katika Taasisi ya Uongozi       (Uongozi Institute), Dar es Salaam.

Tatu, amemteua Prof. Leonard James Mselle kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Tume ya TEHAMA.

Prof. Mselle ni Mhadhiri, Rasi Ndaki ya Sayansi za Kompyuta na Elimu Angavu, Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM).

Taarifa ya Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu, Jaffar Haniu imeeleza kuwa uteuzi huo unaanza 29 Januari, 2022.


Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Rais Samia Afanya Uteuzi Wa Viongozi Mbalimbali
Rais Samia Afanya Uteuzi Wa Viongozi Mbalimbali
https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEirUkrOfo4yvKBXbh902VpZdXJhfvpNI6FLDGjF_R-J4KNcCCIngNw2KXOPZKm3EBvJ4x2SdFxDsYmeP_MkmgIJJFcX0Z66Vr8bGY4ReaNiE53yQZGJOP_4IBUV1RbHWMB6urzZ_2-ePC2TfhtH792Cw9pHze8WcyHtMg5pvYiIDD2xqfyx4S3OyREFZg=s16000
https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEirUkrOfo4yvKBXbh902VpZdXJhfvpNI6FLDGjF_R-J4KNcCCIngNw2KXOPZKm3EBvJ4x2SdFxDsYmeP_MkmgIJJFcX0Z66Vr8bGY4ReaNiE53yQZGJOP_4IBUV1RbHWMB6urzZ_2-ePC2TfhtH792Cw9pHze8WcyHtMg5pvYiIDD2xqfyx4S3OyREFZg=s72-c
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2022/01/rais-samia-afanya-uteuzi-wa-viongozi_30.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2022/01/rais-samia-afanya-uteuzi-wa-viongozi_30.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy