Waziri Biteko Awaagiza Viongozi Wa Wilaya Ya Bunda Kuhakikisha Wanafungua Soko La Madini Wilayani Humo
HomeHabari

Waziri Biteko Awaagiza Viongozi Wa Wilaya Ya Bunda Kuhakikisha Wanafungua Soko La Madini Wilayani Humo

Waziri wa Madini, Dkt. Doto Biteko amewaagiza Mkuu wa Wilaya ya Bunda,  Afisa Madini Mkazi na Katibu Tawala wa Mkoa kuhakikisha wanafungu...


Waziri wa Madini, Dkt. Doto Biteko amewaagiza Mkuu wa Wilaya ya Bunda,  Afisa Madini Mkazi na Katibu Tawala wa Mkoa kuhakikisha wanafungua Soko la Madini wilayani  Bunda Mkoa wa Mara ili kuwarahisishia wachimbaji na  wafanyabiashara wa madini kupata huduma hiyo karibu.

Agizo hilo amelitoa  Desemba 28, 2021 wakati akizungumza na wachimbaji katika eneo la Kinyambwiga lililopo Kata ya Guta wilayani Bunda mkoani Mara.

Dkt. Biteko amesema kuwa, haiwezekeni mchimbaji ana dhahabu yake mfukoni anaenda hadi Musoma kutafuta soko.

Amesema, ni lazima soko la madini lianzishwe Bunda ili watu wafanye biashara ya madini kwa urahisi.

“Natoa agizo kwa Mkuu wa Wilaya, Afisa Madini na Katibu Tawala wa Mkoa ambaye kwa mujibu wa kanuni ya uanzishwaji wa masoko ya madini ndiye mwenye kutafuta eneo sahihi ya kuweka soko la madini,” ameongeza Dkt. Biteko.

Ameongeza kuwa, bado kuna umbali mkubwa hivyo kutoka eneo la machimbo mpaka Bunda na kuwataka kianzishwe kituo kidogo cha kununua madini katika eneo la Kinyambwiga. Amesema, eneo litaandaliwa kwa wafanyabiashara wa madini ( Brokers) ili biashara yote ifanyike katika eneo hilo la wachimbaji.




Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Waziri Biteko Awaagiza Viongozi Wa Wilaya Ya Bunda Kuhakikisha Wanafungua Soko La Madini Wilayani Humo
Waziri Biteko Awaagiza Viongozi Wa Wilaya Ya Bunda Kuhakikisha Wanafungua Soko La Madini Wilayani Humo
https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEjDn9Ilwm0kr8S4gmeffR2gOcrlrMIuXfmOfWWqcowq95aeMACC1gLfFfQfKZJfLKap4v3xLIooTEsMwm0rNkuMPWgz0ru-CC8U0Hu9ZCvllHIDtTBkHiI8kF_j7awST7KDDPtWJBKeoDqkO752eTan3EfgO-4wE7yyaWgQzeJTEEorvsg-e94ChPuZfg=s16000
https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEjDn9Ilwm0kr8S4gmeffR2gOcrlrMIuXfmOfWWqcowq95aeMACC1gLfFfQfKZJfLKap4v3xLIooTEsMwm0rNkuMPWgz0ru-CC8U0Hu9ZCvllHIDtTBkHiI8kF_j7awST7KDDPtWJBKeoDqkO752eTan3EfgO-4wE7yyaWgQzeJTEEorvsg-e94ChPuZfg=s72-c
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/12/waziri-biteko-awaagiza-viongozi-wa.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/12/waziri-biteko-awaagiza-viongozi-wa.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy