DC Mangwala Afunga Mafunzo Ya Jeshi La Akiba
HomeHabari

DC Mangwala Afunga Mafunzo Ya Jeshi La Akiba

Na Imma Msumba,  Ngorongoro Mkuu wa wilaya Ngorongoro Mkoani Arusha Raymond Mangwala amefunga mafunzo ya jeshi la akiba ambapo mafunzo h...

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 19, 2024
Mkuu wa Wilaya Tabora Eng Deusdedith awataka Wananchi kuupokea Mwenge
Habari kubwa Magazetini Kenya leo August 18, 2024


Na Imma Msumba, 
Ngorongoro

Mkuu wa wilaya Ngorongoro Mkoani Arusha Raymond Mangwala amefunga mafunzo ya jeshi la akiba ambapo mafunzo hayo yalikuwa yakifanyika katika tarafa ya rupilo

Akifunga mafunzo hayo Mangwala amewapongeza wakufunzi wa mafunzo na wale wote walioshiriki mafunzo hayo na hatimaye kumaliza mafunzo hayo kwani ilikuwa ni safari ndefu mpaka kuhitimu mafunzo hayo

Mangwala amesema kuwa ana imani kuwa mafunzo hayo yamewajengea ukakamavu ujasiri na kujiamini kwani kwa sasa wahitimu watakuwa tofauti na wasiofanya mafunzo hayo

“Nina imani ndugu zangu mafunzo haya yatasaidia sana kwenye ukakamvu kwani mtakuwa ni tofauti kabisa na wasio fanya mafunzo ya mgambo kwani kwa sasa mtakuwa na hali ya kujiaminina kuwa wajasiri kutokana n mafunzo mliyopata”

Aidha ameongeza kuwa wahitimu hao wanatakiwa kujua ulinzi wa nchi ni wa wananchi wenyewe hivyo kupitia mafunzo hayo yatasaidia kuongeza ulinzi wa nchi na kujilinda wao na familia zao.

Kwa upande wa mshauri wa mgambo wilayani Ngorongoro amesema kuwa mafunzo hayo yalianza yakiwa na jumla ya wanafunzi 81 na ilipungua hadi kufikia 51 waliohitimu kwani wengine walishindwa kumaliza mafunzo hayo kutokana na sababu mbali mbali ikiwa ni pamoja na utoro na magonjwa mbali mbali.

“Mheshiwa mgeni rasmi wanafunzi hawa walianza wakiwa 81 lakini kutokana na sababu mbalimbali wengine waliacha kutokana na sababu kama vile utoro,afya na kushindwa kumaliza mafunzo na hvyo kufanya wanaohitimu kuwa ni wanafunzi 51” Mshauri wa Mgambo

Mkuu wa Wilaya Ngorongoro Raymond Mangwala akikagua gwaride la wahitimu wa mafunzo ya awali ya jeshi la akiba wilayani humo.
Askari wa jeshi la akiba wilayani Nyamagana wakionyesha ukakamavu mbele ya mgeni rasmi Mkuu wa Wilaya Ngorongoro.



Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: DC Mangwala Afunga Mafunzo Ya Jeshi La Akiba
DC Mangwala Afunga Mafunzo Ya Jeshi La Akiba
https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEiYtEXwW8xnhQ7sKv5BFAJcJ0XKoGXbrnuIfE19g4LhgOFWvE5RB00vG8IJS4D9sF3erLQwgqWs5tz5UmDzBDX4CwaiyvZbQD1L_k9Re-MHXojXT2-XsOCFdkEP7V-rJpiV8bSB7OYMSwxvNZwf6RlYVbV73hkUxwgIE_O13eLN-q5aPSyNfICzOHYVEQ=s16000
https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEiYtEXwW8xnhQ7sKv5BFAJcJ0XKoGXbrnuIfE19g4LhgOFWvE5RB00vG8IJS4D9sF3erLQwgqWs5tz5UmDzBDX4CwaiyvZbQD1L_k9Re-MHXojXT2-XsOCFdkEP7V-rJpiV8bSB7OYMSwxvNZwf6RlYVbV73hkUxwgIE_O13eLN-q5aPSyNfICzOHYVEQ=s72-c
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/12/dc-mangwala-afunga-mafunzo-ya-jeshi-la.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/12/dc-mangwala-afunga-mafunzo-ya-jeshi-la.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy