Camon 18 Yavunja Rekodi Baada Ya Kuingia Sokoni
HomeHabari

Camon 18 Yavunja Rekodi Baada Ya Kuingia Sokoni

Simu ya TECNO CAMON 18 yavunja rekodi ya mauza ndani ya wiki mbili kuingia sokoni. Simu zaidi ya 800 zimeuzwa Tanzania nzima ndani yam da...


Simu ya TECNO CAMON 18 yavunja rekodi ya mauza ndani ya wiki mbili kuingia sokoni. Simu zaidi ya 800 zimeuzwa Tanzania nzima ndani yam da wa wiki mbili. Hii inapelekea jinsi mwitikio mkubwa wa watu walivyoipokea simu hii ya CAMON 18. Ambapo watu wengi wamevutiwa na kamera, uwezo wa kuhifadhi, betri kubwa na GOMBAL CAMERA feature ambayo inapatoikana katika CAMON 81 Premier
 

Pia simu ya CAMON 18 imekuwa gumzo mitaani, madukani na pia kwenye kurasa za mitandao ya kijamii, hii inaoonyesha kuwa simu hii ni bomba zaidi kwa vijana wanaokwenda na wakati. Ambapo kwa takwimu zinaonyesha zaidi ya simu 400 pekee zimeuzwa Dar es salaam pekee ikifatiwa na mikoa ya Arusha, Mwanza, Dodoma ikiwa jumla zaidi ya simu 300 zimeuzwa kwenye mikoa hiyo.
 

Mbali na kuwa na sifa nyingi za kumvutia mteja, pindi ununuapo simu ya CAMON 18 unaingia moja kwa moja kwenye droo ya kushinda tiketi za ndege mwaka mzima kutoka Air Tanzania na kifurushi cha dakika, SMS na MB za kuperuzi mwaka mzima kutoka Vodacom. Hii sio ya kukosa. Tembelea sasa maduka ya TECNO kujipatia yako
.

 



Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Camon 18 Yavunja Rekodi Baada Ya Kuingia Sokoni
Camon 18 Yavunja Rekodi Baada Ya Kuingia Sokoni
https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEi7hP43nv895CE9cyh3Z-BNW6ZOvJFD7fMJBybb09p00wZQkAxkckzwSrBZJx4K5sTIJE2EgmjZkokpEIFQwsld24Y903iNkCoDn8z_UQjEMGk-ioIgex1huBSH6F5UU31mBw-LN9cpQJcoVwDn4PykzTot6xYeyOmC7MlvIA0_4GrsmHsmaqFfgsGSXw=s16000
https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEi7hP43nv895CE9cyh3Z-BNW6ZOvJFD7fMJBybb09p00wZQkAxkckzwSrBZJx4K5sTIJE2EgmjZkokpEIFQwsld24Y903iNkCoDn8z_UQjEMGk-ioIgex1huBSH6F5UU31mBw-LN9cpQJcoVwDn4PykzTot6xYeyOmC7MlvIA0_4GrsmHsmaqFfgsGSXw=s72-c
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/12/camon-18-yavunja-rekodi-baada-ya.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/12/camon-18-yavunja-rekodi-baada-ya.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy