Uteuzi Wa Makatibu Wa CCM Mikoa Na Wilaya
HomeHabari

Uteuzi Wa Makatibu Wa CCM Mikoa Na Wilaya

Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika kuendelea kufanya mageuzi ya kiuongozi na kiutendaji ili kukidhi mahitaji ya wakati, mwenendo wa mabadi...

Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika kuendelea kufanya mageuzi ya kiuongozi na kiutendaji ili kukidhi mahitaji ya wakati, mwenendo wa mabadiliko ya siasa za dunia na madhumuni ya Chama chetu katika kuwatumikia wananchi kikamilifu.
Hivyo Chama kimefanya uteuzi wa makatibu wa mikoa 32, waliobaki vituo vyao vya kazi ni 10, waliopangiwa vituo vipya ni 12 na wapya ni 9; aidha makatibu wa wilaya ni 168 ambapo waliopangiwa vituo vipya ni 67, waliobaki kwenye vituo vyao vya kazi ni 45 na wapya ni 56. Katika uteuzi huu kwa kuzingatia suala la jinsia wanawake ni 67 sawa na asilimia 33.5 na wanaume ni 133 sawa na asilimia 66.5.

Katika uteuzi huu hakuna hata mmoja aliyetoka nje ya mfumo wa Chama Cha Mapinduzi. Makatibu wapya wa Mikoa na Wilaya wametokana na kupandishwa hadhi  kwa makatibu wa CCM wa Wilaya, makatibu wa jumuiya za CCM Wilaya na Mikoa, Maafisa wa Chama na jumuiya Makao Makuu kwa utendaji kazi wao mzuri pamoja na makatibu waliorejeshwa kwenye utumishi kutokana na utiifu wao kwa Chama.

Katika uteuzi huu Kamati kuu ya Halmashauri kuu ilizingatia sifa za ziada ikiwemo uadilifu, uaminifu, weledi, uwezo, bidii, ubunifu, jinsia na rika. Makatibu wapya na waliohamishwa vituo vya kazi kwa Mikoa na Wilaya wanatakiwa kuripoti vituo vyao vya kazi mara baada ya kupokea barua zao. Uteuzi wa Makatibu wa CCM Mikoa na Wilaya uliofanyika ni kama ifuatavyo:-


Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Uteuzi Wa Makatibu Wa CCM Mikoa Na Wilaya
Uteuzi Wa Makatibu Wa CCM Mikoa Na Wilaya
https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEjmmbOLQCZB_np1pihfu9gGxCTtx6QBsHWAb8eRTM5Wg_lp3FgR3gbyN1gukNReOzZBTEBzzs5YdkzdiWQkLUPFdxuzNi5DJm3On9OTdUOgJnNV2N5eS9-rCHPDYN9UFEC8xejw94bCbp8wIHpU1-vW2kb3eGKsl7NwXizd8zp51KOb382vDZzgOJwOzQ=s16000
https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEjmmbOLQCZB_np1pihfu9gGxCTtx6QBsHWAb8eRTM5Wg_lp3FgR3gbyN1gukNReOzZBTEBzzs5YdkzdiWQkLUPFdxuzNi5DJm3On9OTdUOgJnNV2N5eS9-rCHPDYN9UFEC8xejw94bCbp8wIHpU1-vW2kb3eGKsl7NwXizd8zp51KOb382vDZzgOJwOzQ=s72-c
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/11/uteuzi-wa-makatibu-wa-ccm-mikoa-na.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/11/uteuzi-wa-makatibu-wa-ccm-mikoa-na.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy