Mahakama ya kimataifa ya usuluhishi wa michezo ‘CAS’ yatupilia mbali rufaa ya Yanga kwa Morrison
HomeHabari

Mahakama ya kimataifa ya usuluhishi wa michezo ‘CAS’ yatupilia mbali rufaa ya Yanga kwa Morrison

 Mahakama ya kimataifa ya usuluhishi wa michezo ‘CAS’ imetupilia mbali Rufaa ya klabu ya Yanga, dhidi ya mchezaji Bernad Morrison Raia wa G...

 Mahakama ya kimataifa ya usuluhishi wa michezo ‘CAS’ imetupilia mbali Rufaa ya klabu ya Yanga, dhidi ya mchezaji Bernad Morrison Raia wa Ghana na kumfanya mchezaji huyo kuwa halali kuitumikia klabu ya Simba.

Uamuzi wa mahakama hiyo, umetolewa tarehe 21, Novemba 2021, mwaka huu katika taarifa yao kwa vyombo vya habari mara baada ya kusikiliza shauri 29 Julai, mwaka huu kwa pande zote mbili kwa njia ya video kwa kuwasilisha vielelezo vya ushahidi.
 

Shauri hilo lilianza kusikilizwa mara baada ya CAS kuondoa pingamizi la awali (Preliminary Objection) lililowekwa na Bernard Morrison kwa kutaka kesi hiyo kusikilizwa nchini.


Kufuatia kuondolewa kwa pingamizi hilo Juni 2 mwaka huu, Mahakama hiyo ilitaka pande zote mbili kutuma mapendekezo ya namna gani kesi itasikilizwa, kwa kutumia njia ya nyaraka au maneno (mtandao).



Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Mahakama ya kimataifa ya usuluhishi wa michezo ‘CAS’ yatupilia mbali rufaa ya Yanga kwa Morrison
Mahakama ya kimataifa ya usuluhishi wa michezo ‘CAS’ yatupilia mbali rufaa ya Yanga kwa Morrison
https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEh4OodJvwi7TsZFy8WNpYNDYMlpox7QmLFuV_z1zn04MUhkHygIdyyZDK-LQG5Mtc4UYpnMugjcw_rh0T_2x88i5gmp2pia2AH9dYH9QzLp_22h3W1Ycv1HSM7JexNJt1RamiM6nrVfSX12Jw14n-CQaXG3lkixAdwmZGbfyc3xSgs8DDvcV1v1GW0b8g
https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEh4OodJvwi7TsZFy8WNpYNDYMlpox7QmLFuV_z1zn04MUhkHygIdyyZDK-LQG5Mtc4UYpnMugjcw_rh0T_2x88i5gmp2pia2AH9dYH9QzLp_22h3W1Ycv1HSM7JexNJt1RamiM6nrVfSX12Jw14n-CQaXG3lkixAdwmZGbfyc3xSgs8DDvcV1v1GW0b8g=s72-c
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/11/mahakama-ya-kimataifa-ya-usuluhishi-wa.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/11/mahakama-ya-kimataifa-ya-usuluhishi-wa.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy