Dkt.Gwajima Afanya Ziara Ya Kukagua Maendeleo Ya Jengo La Hospitali Ya Sekou-Toure
HomeHabari

Dkt.Gwajima Afanya Ziara Ya Kukagua Maendeleo Ya Jengo La Hospitali Ya Sekou-Toure

Na WAMJW- Mwanza Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Dorothy Gwajima amefanya ziara ya kukagua Maendeleo ya...


Na WAMJW- Mwanza

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Dorothy Gwajima amefanya ziara ya kukagua Maendeleo ya jengo la mama na mtoto katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mwanza- Sekou-Toure.

Katika ziara hiyo ameagiza kasi iendelee katika kukamilisha mradi huo ambao sasa uko asilimia 88 na huduma za uzazi zianze kutolewa katika jengo hilo kabla ya Januari, 2022 kama Mkandarasi alivyoahidi.

Dkt. Gwajima ameelekeza kuanzishwe daftari la kuandika taarifa ya kilichotekelezwa Kila siku ili kuweza kuongeza kasi na kujua kila hatua katika mradi huo ili kuongeza uwajibikaji.

Katika ziara hiyo Dkt. Gwajima aliambatana na Mganga Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Dkt. Thomas Lutachunzibwa.



Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Dkt.Gwajima Afanya Ziara Ya Kukagua Maendeleo Ya Jengo La Hospitali Ya Sekou-Toure
Dkt.Gwajima Afanya Ziara Ya Kukagua Maendeleo Ya Jengo La Hospitali Ya Sekou-Toure
https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEhRLx4xOV5EwNIP3yVa0n4ZJyPXAQdbTnfpijvpTpJgJNd4dxC6cNWdxUnka58T1MlzWic1WcseQoaeMhCDHjBOxCSes_5SCKgHHGPDVXRiADW1LvJR26GZMKlDQbbiBZCd5h_tosBlApDUEFvgQt6qbhrKAhw6w8MYf5PIt-uf0NvfNPyfqgzYns6IXg=s16000
https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEhRLx4xOV5EwNIP3yVa0n4ZJyPXAQdbTnfpijvpTpJgJNd4dxC6cNWdxUnka58T1MlzWic1WcseQoaeMhCDHjBOxCSes_5SCKgHHGPDVXRiADW1LvJR26GZMKlDQbbiBZCd5h_tosBlApDUEFvgQt6qbhrKAhw6w8MYf5PIt-uf0NvfNPyfqgzYns6IXg=s72-c
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/11/dktgwajima-afanya-ziara-ya-kukagua.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/11/dktgwajima-afanya-ziara-ya-kukagua.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy