TAKUKURU Manyara Yachunguza Miradi 19 Ya Bilioni 5.5
HomeHabari

TAKUKURU Manyara Yachunguza Miradi 19 Ya Bilioni 5.5

Na Mwandishi wetu, Babati TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoani Manyara imechunguza miradi 19 ya thamani ya shiling...

Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo June 1
Majina ya waliochaguliwa kujiunga JKT haya hapa... Bofya Hapa Kutazama
Simba yavunja mkataba na kocha wake Mkuu


Na Mwandishi wetu, Babati
TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoani Manyara imechunguza miradi 19 ya thamani ya shilingi bilioni 5.5 ili kujiridhisha iwapo kuna matumizi sahihi ya fedha hizo.
 

Mkuu wa TAKUKURU Mkoani Manyara, Holle Joseph Makungu ameyasema hayo wakati akisoma taarifa ya utendaji kazi kwa kipindi cha miezi mitatu ya Julai hadi Septemba kwa waandishi wa habari mjini Babati.

 

Makungu amesema wametembelea miradi mbalimbali ikiwemo ya ujenzi wa madarasa, hospitali,  vituo vya rasilimali vya kilimo, barabara, madaraja na mabweni ya shule ya sekondari.
 

Amesema katika kipindi hicho cha miezi mitatu wamepokea malalamiko 85 ya mashtaka mbalimbali ambayo 65 ilikuwa ya rushwa na 20 hayakuhusianan na matukio ya rushwa.
 

Amesema malalamiko hayo 65 wameyafikisha mahakamani na hayo 20 wamewaelekeza walalamikaji ipasavyo.
 

Amesema wamepanga kuanza utekeleza wa mpango wa kitaifa wa kutoa elimu kwa vijana wa skauti kuhusu kuzuia na kupambana na rushwa ili wawe washiriki wa kuzuia na kupambana na rushwa kuanzia kwao binafsia, ngazi ya shule, familia, jamii na Taifa kwa ujumla.
 

“Katika malalamiko yanayohusu rushwa yapo kwenye hatua mbalimbali za uchunguzi,” amesema Makungu.
 

Amesema kesi tano zimefunguliwa mahakamani zenye washtakiwa 10 na kuongeza idadi ya kesi zilizopo mahakamani kuwa 44.



Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: TAKUKURU Manyara Yachunguza Miradi 19 Ya Bilioni 5.5
TAKUKURU Manyara Yachunguza Miradi 19 Ya Bilioni 5.5
https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEi5P6PfhE14-HLAzNhDxV4P5QETf05F0AocvHXNYDE9s0UzrIl_S8PRqsmfIprLbuiI-SvHRoi6XP4BuBGyl5PAhzU4V-C58OivG-kPUHEBKZnkMynyiLBpyzpn-I36NLrPhV2XIok7KBY-4VFyh5ni6aN2BAcMZ9nadA6uirO9nCyvgHY85ZfOJqTnYA=s16000
https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEi5P6PfhE14-HLAzNhDxV4P5QETf05F0AocvHXNYDE9s0UzrIl_S8PRqsmfIprLbuiI-SvHRoi6XP4BuBGyl5PAhzU4V-C58OivG-kPUHEBKZnkMynyiLBpyzpn-I36NLrPhV2XIok7KBY-4VFyh5ni6aN2BAcMZ9nadA6uirO9nCyvgHY85ZfOJqTnYA=s72-c
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/10/takukuru-manyara-yachunguza-miradi-19.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/10/takukuru-manyara-yachunguza-miradi-19.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy