TIMU ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars imewasili leo Oktoba 11 ikitokea nchini Benin ambapo ilikuwa na mchezo wa kuwania kufuzu Kombe ...
TIMU ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars imewasili leo Oktoba 11 ikitokea nchini Benin ambapo ilikuwa na mchezo wa kuwania kufuzu Kombe la Dunia.
Stars jana ilifanikiwa kupata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Benin na kukusanya pointi tatu kibindoni.
Ushindi huo imeupata ikiwa ni siku tano zimepita baada ya kulala kwa kuchapwa bao 1-0 Uwanja wa Mkapa.
Ni bao la Simon Msuva ambaye alipachika bao la ushindi dakika ya 6 na kuifanya Stars kuwa namba moja katika kundi J ikiwa na pointi 7 sawa na Benin iliyonafasi ya pili.
Msuva amesema kuwa ushindi ni zawadi kwa Watanzania.
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
COMMENTS