STUDIO ZA EXPANSE ZIMETOA MCHEZO MPYA KUELEKEA G2E, LAS VEGAS
HomeMichezo

STUDIO ZA EXPANSE ZIMETOA MCHEZO MPYA KUELEKEA G2E, LAS VEGAS

  Baada ya mafanikio makubwa kupitia michezo ya Evoji na Titan Roullette , Studio za Expanse zimetoa mchezo mpya wa kasino ya mtandaoni ku...

 

Baada ya mafanikio makubwa kupitia michezo ya Evoji na Titan Roullette, Studio za Expanse zimetoa mchezo mpya wa kasino ya mtandaoni kuelekea maonesho ya G2E Las Vegas – Circus Fever Deluxe!

Mchezo mpya, ambao unapatikana Meridian Gaming pekee, unamaadhi ya turubai lenye wanyama na sarakasi za kipekee.

Kimsingi, kuna majokeri kwenye kila kona kama ambavyo imezoeleka, lakini kwenye vitu vingine vyote – huu mchezo ni wa kipekee. Ni mithili ya mchanganyiko wa sloti ya mtandaoni na mashine za mipira, unapambwa kwa jokeri za circus na zawadi!

Ushindi unazidishwa mara 1000!

 

Circus Fever Deluxe inamchezo maalumu unaoitwa Plinkona michezo miwili ya bonasi – kete na kugeza sarafu. Kwenye mchezo maalumu, unabashiri kwenye namba 1 kati ya namba 5 – 1,2,4,6 na 9 kwa kuweka thamani ya chip kuanzia upande wa kulia wa sloti. Jokeri litaangusha mpira kutoka mdomoni kwake, lakini kabla ya hilo kutokea, vyungu viwili chini ya jokeri vitachagua chip na kizidishio bila mpangilio. Kama unabahati ya mpira kupita kwenye vizuizi vyote na kufika kwenye chungu hicho, ubashiri wako utazidishwa mpaka mara 1000 ya dau lako!

Uwezekano wa malipo kwenye michanganyiko, ipo kati ya 2x na 50x ya dau lako, hivyo bonasi hii inaweza kuwa ya kuvutia zaidi.

Mzunguko wa pili wa bonasi unaitwa Kugeuza Sarafu. Inaanza kutumika pale mpira unapotua kwenye kofia ya zambarau. Huu ni mzunguko mrahisi wa bonasi ambao unahusisha kuzungusha sarafu na sloti mbili. Malipo yanatokana na kila upande wa sarafu, utapata inayoendana na upande sarafu ilipogeukia. Malipo unayoweza kuyapata kwenye bonasi hii yanafikia hadi mara 30 ya dau lako.

 

Jakipoti Mpya na Kubwa Kutoka Meridian - €1,129,692.15!

 

Kwa sasa, Casino ya Meridian Gaming imekuwa ni neno moja tu – Jakipoti kuwa duniani! Tumekuwa tukitoa mamilioni ya ushindi na jakipoti za kasino kwa miezi mingi, lakini ushindi mmoja uliweka rekodi ya dunia kwenye michezo ya sloti na pengine itaendelea kubaki hivyo.

Kwa siku za karibuni, Meridian Gaming tumetoa jakipoti ya €1,129,692.15 kupitia mchezo wa sloti wa Wild Crusade:Empire Treasures. Jakipoti kubwa zaidi kuwahi kutokea kwenye soko la Ulaya



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: STUDIO ZA EXPANSE ZIMETOA MCHEZO MPYA KUELEKEA G2E, LAS VEGAS
STUDIO ZA EXPANSE ZIMETOA MCHEZO MPYA KUELEKEA G2E, LAS VEGAS
https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEjiWO1iaSAM7I5Ftb0YE3NB_-ObVj3trnA4WIz4myRkSOYUEzqaY24CZeINaJe0rHg5of0GlGRXgsF1IJcJn52vtxNm7ydZ9siyvDoCq1OIC-1QVbMgEko6GZVU299Aq41KDEHvGae3PPPEn-sQaMBoVSMp8GSUBU_mYfjVH9Toyk8SBppCIcTsKWmsgA=s16000
https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEjiWO1iaSAM7I5Ftb0YE3NB_-ObVj3trnA4WIz4myRkSOYUEzqaY24CZeINaJe0rHg5of0GlGRXgsF1IJcJn52vtxNm7ydZ9siyvDoCq1OIC-1QVbMgEko6GZVU299Aq41KDEHvGae3PPPEn-sQaMBoVSMp8GSUBU_mYfjVH9Toyk8SBppCIcTsKWmsgA=s72-c
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/10/studio-za-expanse-zimetoa-mchezo-mpya.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/10/studio-za-expanse-zimetoa-mchezo-mpya.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy