LUKAKU ATABIRIWA KUFUNGA MABAO MENGI KULIKO RONALDO
HomeMichezo

LUKAKU ATABIRIWA KUFUNGA MABAO MENGI KULIKO RONALDO

  NYOTA wa zamani wa Tottenham,Darren Bent anaamini kuwa mshambuliaji wa Chelsea,Romelu Lukaku atafunga mabao mengi zaidi ya Cristiano Ro...

 


NYOTA wa zamani wa Tottenham,Darren Bent anaamini kuwa mshambuliaji wa Chelsea,Romelu Lukaku atafunga mabao mengi zaidi ya Cristiano Ronaldo wa Manchester United. 

Lukaku mwenye miaka 28 amejiunga na Chelsea akitokea Klabu ya Inter Milan kwa mkwanja mrefu ambao ni pauni milioni 97.5 huku Ronaldo akiibuka Manchester United akitokea Juventus. 

Dili la Ronaldo linatajwa kugharimu pauni milioni 15 ambazo mabosi wa United waliweka mezani kumpata staa huyo mwenye miaka 36.

Msimu uliopita Ronaldo aliibuka mfungaji bora ndani ya Serie A ambapo alitupia mabao 29 na Lukaku yeye alikuwa namba moja katika timu yake aliyokuwa ya Inter Milan ambapo alitupia mabao 24.

Nyota huyo amesema:"Nafikiria na kuiangalia Chelsea unaangalia mabao mengi yatapatikana kupitia Lukaku kwa sababu ndiyo mashine ambayo itakuwa mbele. Tunafahamu ubora wa Ronaldo ila kuna Mason Greenwood,  Bruno Fernandes, Rashford na Edinson Cavani angalia sasa asicheze mechi zote tofauti na Lukaku yeye ana uhakika,"



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: LUKAKU ATABIRIWA KUFUNGA MABAO MENGI KULIKO RONALDO
LUKAKU ATABIRIWA KUFUNGA MABAO MENGI KULIKO RONALDO
https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEge5z5oCrRp4ptd7SmqccbRt4nbAOmyiJ7b1HSlRnNl9ls9W3qvzY8kTo24P-hEh6ADRzTQW6sXuTUWWxjCcqc5lJ4PChiFJcgjFTzWHiJg7qRT8sR_WJzKXdSqZdTnM9KX25ydnY1eLaAJZuT2e4pQ3qRXPdsNJdW_Wa5A-qF05szcO30GyHqZK7ttFw=w640-h640
https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEge5z5oCrRp4ptd7SmqccbRt4nbAOmyiJ7b1HSlRnNl9ls9W3qvzY8kTo24P-hEh6ADRzTQW6sXuTUWWxjCcqc5lJ4PChiFJcgjFTzWHiJg7qRT8sR_WJzKXdSqZdTnM9KX25ydnY1eLaAJZuT2e4pQ3qRXPdsNJdW_Wa5A-qF05szcO30GyHqZK7ttFw=s72-w640-c-h640
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/10/lukaku-atabiriwa-kufunga-mabao-mengi.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/10/lukaku-atabiriwa-kufunga-mabao-mengi.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy