CHELSEA YACHEKA UNITED MAJANGA
HomeMichezo

CHELSEA YACHEKA UNITED MAJANGA

  WAKATI Manchester United wakibanwa mbavu na Everton katika mchezo wa Ligi Kuu England kwa kuufanya ubao wa Old Trafford usome Mancheste...

 


WAKATI Manchester United wakibanwa mbavu na Everton katika mchezo wa Ligi Kuu England kwa kuufanya ubao wa Old Trafford usome Manchester United 1-1 Everton kwa Chelsea ilikuwa ni kicheko kikubwa kwa kuwa ubao wa Uwanja wa Stamford Bridge ulisoma Chelsea 3-1 Southampton. 


Yalikuwa mabao ya Trevoh Chalobah dakika ya 9, Timo Werner dakika ya 84 na Ben Chilwell dakika ya 89 huku lile la Southampton lilipachikwa na James Ward-Prowse dakika ya 61 na alionyeshwa kadi nyekundu dakika ya 77 baada ya kuonekana akimpa changamoto Jorginho anayenolewa na Kocha Mkuu, Thomas Tuchel. 


Kadi hiyo inamfanya awe mchezaji wa nne ndani ya Southampton kuweza kufunga ndani ya mchezo na kuonyeshwa kadi nyekundu ambapo wengine waliowahi kufanya hivyo ni Peter Crouch ilikuwa Mei 2005, Sadio Mane ilikuwa ni Oktoba 2015 na Pierre Emile Hojbjerg ilikuwa ni Desemba 2018.


Kwa upande wa United wao bao lao lilipachikwa na Anthony Martial ilikuwa dakika ya 43 lilisawazishwa na Andros Townsend dakika ya 65 hivyo United ya Ole Gunnar Solskjaer inafikisha pointi 14 huku ikiwa sawa na  Everton zote zimecheza mechi 7 ndani ya Ligi Kuu England. 



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: CHELSEA YACHEKA UNITED MAJANGA
CHELSEA YACHEKA UNITED MAJANGA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg3aOS9gF2LIaIEgb3dwWutxUKpcFcuM4bLHORiH57647kwuGPPAr13sqU-Q5viDOI1XFMzxXSSO4WSqL9sf67gyeCP6EBFi-DcHOgEQl1FCmItRhosVCm-1KMwyhtkYBm-qxTs_wDRH6Cc/w508-h640/Screenshot_20211003-073447_Instagram.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg3aOS9gF2LIaIEgb3dwWutxUKpcFcuM4bLHORiH57647kwuGPPAr13sqU-Q5viDOI1XFMzxXSSO4WSqL9sf67gyeCP6EBFi-DcHOgEQl1FCmItRhosVCm-1KMwyhtkYBm-qxTs_wDRH6Cc/s72-w508-c-h640/Screenshot_20211003-073447_Instagram.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/10/chelsea-yacheka-united-majanga.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/10/chelsea-yacheka-united-majanga.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy