YANGA YATUMIA MUDA KUWASOMA WAPINZANI WAO, KAZI INAENDELEA
HomeMichezo

YANGA YATUMIA MUDA KUWASOMA WAPINZANI WAO, KAZI INAENDELEA

KUELEKEA kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika ambao ni wa hatua ya awali kati ya Yanga v Rivers United unaotarajiwa kuchezwa Jumapili,...


KUELEKEA kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika ambao ni wa hatua ya awali kati ya Yanga v Rivers United unaotarajiwa kuchezwa Jumapili, Septemba 12 Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi amekuwa akiwasoma wapinzani wao mara kwa mara.

Imeelezwa kuwa Nabi ambaye ni mkuu kwenye kitengo cha benchi la ufundi Yanga amekuwa akiwafuatilia wapinzani wake ili aweze kujua mbinu za kupata ushindi.

Habari kutoka ndani ya Yanga zimeeleza kuwa kocha huyo aliomba video mbili za mechi za Wanaijeria hao ambazo ni sawa na dakika 180 ambazo wapinzani wao walicheza hivi karibuni.

"Kocha amekuwa na utaratibu wa kuwaangalia wapinzani siku moja hadi siku mbili kabla ya mchezo husika tutakaokutana nao wikiendi.

"Amekuwa akiwaangalia wapinzani wake kwa kutumia video za mechi mbili hadi tatu na lengo la kuangalia ni kuweza kujua ubora na upungufu wao ulipo," .

Mkuu wa kitengo cha Habari, Mawasiliano cha Yanga, Hassan Bumbuli amesema:"Tayari tumekamilisha mahitaji yote ya mwalimu ambayo ameyataka, kazi tumuachie yeye na wachezaji wake kuhakikisha tunapata ushindi," .

Tayari kikosi hicho kinaendelea na mazoezi kwa ajili ya mechi hiyo inayotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa.

Yupo mtambo wao wa mabao msimu uliopita ambaye ni Yacouba Songne na alitupia mabao 8 pia Ramadhan Kabwili naye yupo pamoja na Said Ntibanzokiza naye ni miongoni mwa wachezaji ambao wapo kambini, kijiji cha Avic.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: YANGA YATUMIA MUDA KUWASOMA WAPINZANI WAO, KAZI INAENDELEA
YANGA YATUMIA MUDA KUWASOMA WAPINZANI WAO, KAZI INAENDELEA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj_-EAhKXjbtGTk2Uo2qEyk3AvkTrBRdoGUP_eoViheuipZmhVCFR8AFHs6GhcbliueaqBjNWWZlWMsPFg7jLuYjjuxll3qf1z-JK4AMAC3evJ2QJEFa1gcld7mi3PiIDkhtj8zoa07_Lcn/w640-h640/241553046_4264967003616565_8531307586352897138_n.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj_-EAhKXjbtGTk2Uo2qEyk3AvkTrBRdoGUP_eoViheuipZmhVCFR8AFHs6GhcbliueaqBjNWWZlWMsPFg7jLuYjjuxll3qf1z-JK4AMAC3evJ2QJEFa1gcld7mi3PiIDkhtj8zoa07_Lcn/s72-w640-c-h640/241553046_4264967003616565_8531307586352897138_n.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/09/yanga-yatumia-muda-kuwasoma-wapinzani.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/09/yanga-yatumia-muda-kuwasoma-wapinzani.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy