NAHODHA wa Biashara United, Abdulmajid Mangalo amesema kuwa walikuwa na mchezo mgumu katika kazi yao ya kusaka ushindi mbele ya Simba kwenye...
NAHODHA wa Biashara United, Abdulmajid Mangalo amesema kuwa walikuwa na mchezo mgumu katika kazi yao ya kusaka ushindi mbele ya Simba kwenye mchezo uliochezwa Uwanja Karume ,Mara ambapo ulikamilika kwa timu hizo kutofungana na kugawana pointi mojamoja.
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
COMMENTS