HERITIER Makambo, mshambuliaji wa Yanga amesema kuwa wanawaheshimu Simba kwa kuwa ni moja ya timu kubwa na wanaamini kwamba kupoteza kwao ni...
HERITIER Makambo, mshambuliaji wa Yanga amesema kuwa wanawaheshimu Simba kwa kuwa ni moja ya timu kubwa na wanaamini kwamba kupoteza kwao ni sehemu ya matokeo. Jana Simba ilipoteza kwa kufungwa bao 1-0 katika mchezo wa Ngao ya Jamii.
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
COMMENTS