UEFA NA EUROPA KURINDIMA WIKI HII
HomeMichezo

UEFA NA EUROPA KURINDIMA WIKI HII

  Sasa ni rasmi, Chelsea kuliweka mezani kombe la Ligi ya Mabingwa na kuianza safari ya kulitetea. Ataweza au miamba mingine ya Ulaya i...

INSTANT KENO KUTOKA STUDIO ZA EXPANSE, KUPITIA KASINO YA MERIDIANBET PEKEE
AZAM FC KUPIMANA NGUVU NA KMC
KOCHA TAIFA STARS: HAIKUWA BAHATI YETU

 


Sasa ni rasmi, Chelsea kuliweka mezani kombe la Ligi ya Mabingwa na kuianza safari ya kulitetea. Ataweza au miamba mingine ya Ulaya italitwaa? Safari ya mabingwa inaanza hivi;

 

FC Barcelona kuwaalika Bayern Munich katika mchezo wa kwanza wa Kundi E. Barca hii ni muoenekano mpya wa kikosi ambacho hakina Lionel Messi, shujaa wao aliyetwaa tuzo 6 za Balon d’Or akiwa na Barcelona. Bayern nao wataingia wakiwa na machungu ya kupoteza ubingwa msimu uliopita. Hakika, ni burudani ya kibingwa. Meridianbet tumekuwekea Odds ya 2.10 kwa Bayern.

 

Young Boys watakua uwanjani kuwaalika Manchester Unitedkule Switzerland. CR7 ndani ya kikosi cha The Red Devils, akiipeperusha bendera nyekundu kwa mara ya pili baada ya miaka 12. Ifuate Odds ya 1.37 kwa United ndani ya Meridianbet.


Jumatano, Atletico Madrid watawaalika FC Porto ndani ya Wanda Metropolitano katika mchezo wa Kundi B. Timu zote zinahistoria nzuri na mashindano haya na lolote linaweza kutokea ndani ya uwanja. Odds ya 1.70 kwa Atletico inakusubiri ndani ya Meridianbet.

 

Liverpool watakua Anfield kumualika Zlatan Ibrahimovic na wenzake wa AC Milan. Sasa hii ndio vita ya watu wazima, timu hizi ni miongoni mwa miamba ya soka la Ulaya. Mpira wa kistaarabu lakini upinzani wake ni mkali sana! Kupitia Meridianbet, ifuate Odds ya 1.53 kwa Liverpool.

 

Alhamisi kutapigwa mchezo wa Ligi ya Europa. Crvena Zvezds vs Braga kunogesha siku yako. Ifuate Odds ya 2.40 kwa Zvezda ndani ya Meridianbet.

 

Meridianbet, Nyumba Yenye Odds Bora na Bonasi Kubwa!

 



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: UEFA NA EUROPA KURINDIMA WIKI HII
UEFA NA EUROPA KURINDIMA WIKI HII
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi7lEzkIbPG2X8xAMfNZJm_xHnGdNLVVTMQOTj0Ze6Li48MY-mBbPaKf3JZ1ZkBNdcf8FmDb9oZfx_7k0y9Rdgg5aV5jcNh_PnTd4bF-iY-dUpLlGGouE3bgQdHKeALRLuEJRItyygaa1ss/w640-h486/Atletico%252BMadrid%252Bv%252BFC%252BPorto%252BUEFA%252BChampions%252BvlJKk7R6sAax.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi7lEzkIbPG2X8xAMfNZJm_xHnGdNLVVTMQOTj0Ze6Li48MY-mBbPaKf3JZ1ZkBNdcf8FmDb9oZfx_7k0y9Rdgg5aV5jcNh_PnTd4bF-iY-dUpLlGGouE3bgQdHKeALRLuEJRItyygaa1ss/s72-w640-c-h486/Atletico%252BMadrid%252Bv%252BFC%252BPorto%252BUEFA%252BChampions%252BvlJKk7R6sAax.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/09/uefa-na-europa-kurindima-wiki-hii.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/09/uefa-na-europa-kurindima-wiki-hii.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy